Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi siachagi kumwambia. Anayoayaandika huku JF na alivyo mtaaani ni watu wawili tofauti. Mtaani ni mtu flani smart anajielewa sanaNGOJA NISEME UKWELI NA MIMI
Mkuu ulichoandika ni kweli kwa asilimia 100. Kama kuna watu ambao walikuwa wanakuchukia humu ndani basi MIMI NILIKUWA NAMBA MOJA KWA KUMCHUKIA GUDUME. Nakumbuka nlishaandika sana nyuzi za kumlaani na kusema nitamtanya jambo flani.
Nlibadili ID yangu nikatafuta sababu ya kuonana naye ili nijue nifanye nini. Jamaa anionana nami lakin katika namna ambayo alikuwa na umakini flani nilikuja jifunza baadaye. Tulionge sana posta karibu na jengo la NIDA kuna mgawahawa wasomali mzuri.
Jamaa nligundua ni mtu smart, anajiamini na ana uelewa mkubwa sana.tulipiga stories ni tofauti na anavyoonekana humu ndani.TOFAUT SANA. alinisaidia kwa jambo ambalo nlikuwa nmejifanya kama ni tatizo ila alinipa namna ya kutatua ambayo nikasema ningekuwa na hilo tatizo kweli angekuwa amenisaidia sana.
Nje ya JF hapendi kuzungumzia JF. nlishangaa kwa nini. Nje anasema yeye si Gudume.so leo nmeelewa sana. Humu JF KUNA WATU WANA AKILI NA UELEWA MKUBWA. NASHUKURU SANA SINA CHUKI NAYE na yule dada kahaba ambaye alisababisha haya nimemsamehe ila ajifunze kitu pia. Maana hakufanikiwa hata kwa gudume.
Ni kweliMara nyingi mwanaume anayetafuta mwanamke mtandaoni huwa ni domo zege (98%), mwanamke anayetafuta wanaume asilimia kubwa milleage zake zinasoma 1277377373625535Kms na hamna hopes za kuolewa!!!
View attachment 980961
Sent using Jamii Forums mobile app
Niongee nini naameshasema yote kwenye kila neno mwanamke weka mwanaume.Wanaume nao tupoje aslimia kubwa wakuu mama..wekeni nasi tujisome.
Mama nshazoea mpaka nasugu nishaota tuvute muda tusubiri mwaka mpya tu sie muhenga... Vijana waendelee kujifurahisha
Kama zote mama kasoro kwa hao wawili walio positive tehNa wewe upo namba ngapi ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asante san
Valeeeee,Mama nshazoea mpaka nasugu nishaota tuvute muda tusubiri mwaka mpya tu sie muhenga... Vijana waendelee kujifurahisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuumizwa ni popote, usipoumia hapa utaumia pale ama kuleeDuuuh.
Watu mmeumizwa humu ndani bwana.
Sawa sawa.Juzi juzi nliandika uzi humu kuhusu jambo hili. Bro umelisema kama ambavyo nliliwazia kabisa. Mimi ni mmoja ya watu ambao wanavutiwa sana na nyuzi zako na aina yako ya uandishi. Ndo ulinifanya nijiunge JF na pia somebody Hanga kwa sasa.
Nmekutana na makahaba humu. Wapo na pia hata MASHOGA WAPO tena wengi sana. Hawa walikuwa wananifuata na kunishauri niachane mademu pasua kichwa kama vipi waniungnishe ni mtu anayeweza nipa raha mpka basi. Wamo humu mashoga. Wengi tu.
Ndio maana nikasema kwa kua ni watani wa jadi basi acha tusubiri mada zingine zaidi kama hizi, wakati huo watani wakigombana wapambe tunaenda kulima na wakipatana basi tunaenda kuvuna.Mada zenye haya maudhui zipo nyingi tu humu, hususan jukwaa la Chit-Chat.
Ndo maana nikasema, ukiwa objective observer, huo ukweli utauona.
Ngoja nikuulize, kimaudhui, mada ya DaJane na hii ya huyu jamaa, zina tofauti gani ya kimsingi ukiacha kuwa DaJane alikuwa anawazungumzia ‘wanaume wa JF’ na huyu jamaa anawazungumzia ‘wanawake wa JF’?
Sorry kama nimekuzamisha kwenye mambo ya kifalsafa zaidi....
Mirejesho ipo ya jinsia zote mzee mama labda haujaiona tu.Wanawake wa jf nyie ndio hamnaga mirejesho eeh, maana kila siku naona kaka zenu wanavyowanyumbua lakini nyie kimyaaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
ameongea kwwli tupu, wanawake wa humu tunawajua kwa mwandiko, mbea, mchonganishi, kicheche, jeuri nk.Ohooo!mambo yashakua mengi!!![emoji124][emoji124][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
I like this.Je wewe ni mfanya biashara, una shule, chuo, ama biashara yoyote na umekuwa na shida ya kujitangaza, unabiashara ndogo na haiendi kama unavyotegemea, basi tupo hapa kukusaidia kuwafikia wateja wako wengi kwa wakati mmoja. TANWEB group of proffessional wa I, tunakutengenezea website kwa gharama nafuu sana ya laki moja tu Tsh.100,000/=na utalipia domain name kwa elf 80 mwaka mzima. Na kama hauna elf 80 usihofu, utalipia laki moja 100,000/= utatengenezewa website yako na utapewa subdomain bureeeeee kabisa bila malipo yoyote. Offer hii ni kwa mwezi January na february pekee baada ya hapo tutaendelea na bei zetu kama kawaida. Tupo Musoma mjini na utatupata kwa namba 0782183441 au 0623523538 karibu sana tukuunganishe na wateja wako
Sent using Jamii Forums mobile app