Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Lakini na nyie. Members wengine muwage basi mnajitahidi kupitia pitia kwenye majukwaa mengine basii

Yaani nyinyi kila siku ngono tu kweli "

Binafsi huwaga nakuja MMU kwaajili ya kupata Ucheshi " nasio vinginevyo maana comments za watu wa jukwaa hili huwa ni zawatu wanao onyesha kwamba wamevurugwa mno aise ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tunaanza kupangiana mpaka majukwaa ya kwenda?!!!
 
Hahaa una wapa backups wenzio wewe watie ujinga tu " wakati wewe haushiriki kuishi kwenye ujinga huo " ...

Nimeshakuona mara kibao kwenye jukwaa la biashara uki-discuss biahara za kuuza viazi na mchele ..

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…