Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Whatever i did and texted/wrote back in days i did for a purpose. Trust me. Napenda kuwa yule mtu anayefahamika humu kama gudume naenjoy kuwa hivyo coz humu nakuwa huru kama gudume. nje nashindwa kutokana na mambo kadhaa.

So nikwambie tu ktk akili timamu mimi siwezi tafuta mchumba humu. Ila gudume anaweza tafuta mchumba humu. Mimi nmeoa zamani.ila gudume ameoa siku za hivi karibuni. Sijui kama umenielewa.
Nimekupata kabisaa na ndio maana nimenyamaza hunioni napenda style yako ya huku kabisa ndio maana no comment.
 
Lakini na nyie. Members wengine muwage basi mnajitahidi kupitia pitia kwenye majukwaa mengine basii

Yaani nyinyi kila siku ngono tu kweli "

Binafsi huwaga nakuja MMU kwaajili ya kupata Ucheshi " nasio vinginevyo maana comments za watu wa jukwaa hili huwa ni zawatu wanao onyesha kwamba wamevurugwa mno aise ...

Sent using Jamii Forums mobile app
kama jukwaa la siasa? ambako kuna watu hata Rais Magufuli akiingia toilet utasikia "hatujawahi kuwa na rais bora kuliko huyu, anaingia toi kwa wakati"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu kuna wadangaji wa kike na wa kiume!!

Kuna uchafu wa aina zote kwa pande zote mbili za jinsia zetu ke & me!!trust me!

Kuna wadada humu wanajifanya kuandika points ili wadrive attention za watu ukimsifia kesho kaja PM kujilengesha atakuambia matatizo yake yoteee...halafu atakupiga kibomu!!!huko huko PM...

Kuna wakaka humu nao hvyo hvyo ndo walivyo..basi tabu tabu na tafrani kama zote..kutindinganyana tuuHumu jf ktk 100% naweza sema only 2% ndio wako safi wengine wote kutindinganya tuu!!!

Kuna watu ukisoma muandiko wao tofauti na uhalisia wao!!.[emoji1][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1][emoji2][emoji1]kuna wanaondika upuuzi ila ni wastaarabu balaaa...ila kuna wanaoandika points kumbe ni vichefuchefu hawafai...

Mwanzo I was so naive to understand jf but nowadays naichukulia kama ilivyo...!!!!
Hapa ni kama Open University vile
Umeongea vyema " sana ... binafsi Jf imenifanya niweze kuijua vyema Jamii ya watu wetu ilivyo " huko nje watu wengi wana ishi maisha yao " kwa ku-fake maisha " ila uhalisia wa maisha yao upo humu .... huko nje wana jifanya ni watu smart sana "

Ila wakiwa humu ni waropokaji wakubwa " watukanaji ..wazinzi .malaya wa level ya PHD mbaya zaidi sasa kuna wanao fake huko nje mpaka humu wana fake lakini pm zao zimejaa mataka taka yote kiasi kwamba hata mods wakiyapitia wanabaki kuachama midomo wazi (gossshhh si fulani huyu !!!!!)

Hii ndio sababu iliyonifanya niupende huu mtandao kwa sababu watu wako real zaidi " tofauti na jinsi walivyo katika maisha ya kawaida .... ina saidia kuweza kukufanya uielewe vyema jamii yako ... hata ikitokea siku ukisikia mtakatifu fulani kabaka hauwezi kushangaa kwa sababu utakuwa umeshajua kwamba ule utakatifu aliokuwa amejipachika haikuwa rangi yake halisi bali ni fake tu ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanzo nlikuwa naamini wanawake walioko JF ni big brains, smart ones. Nikajiaminisha kwamba hapa ndo mahali pazuri pa kupatia mchumba.

Sikuwahi kuandika uzi wa kutafuta mchumba, but nimewafuata wale wanaotafuta kwenye PM zao sana. Nikaja kubahatika kumpata mdada mmoja ambaye niliona atanifaa kwani tulikuwa tunaendana kwa % kubwa plus tunatoka mkoa mmoja.

Tulianza mahusiano vizuri kabsa ambayo yalidumu kwa kipindi cha mwaka mmoja. Lakini mateso aliyokuja kunipa sitokaa niyasahau kamwe maishani mwangu. Mateso aliyonipa yule mwanamke yalikuw makubwa mnoo kwani yaligusa kila nyanja ya maisha yangu mpaka kazi yangu. Kwa funzo alilonipa yule mwanamke sidhan km kuna mwanamke atanipa shida tenaa maishan mwangu.

All in all namtakia maisha mema na Mungu ambariki.
Pole Sana mkuu alikufanya nn uyo dada
 
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Haha muone ... na kwenye ule uzi wa kusoma Vitabu pia umo .
.
.hebu wape neno basi wanawake wenzio ambao wana sbabishwa wote msemwe vibaya kutokana na ubovu wa tabia zao ilhali mpo ambao mnajitambua .... msiwatetee tu wakati mnaona kwamba tabia zao zinachangia kuiharibu brand yenu ya (MWANAMKE)

mwanamke ni kiumbe muhimu sana ana mchango mkubwa duniani anapaswa kupewa heshima tukufu mwanamke ni (ardhi) so inapotokea wenzenu wachache wakaonyesha kutaka kuipaka matope brand yanu nyie mnao onyesha kujitambua mnapaswa kukemea hilo " kwa sababu tabia zao ambazo sio za kiungwana zinatizidi kuchochea Baadhi ya wanaume walio wengi washindwe kuwapa ile value ambayo mnastahiki

Ndio maana tunaona kuna wimbi kuwa sana la vijana wa kiume wanao wafanya ubaya wanawake like kukataa mimba zao kuwanyanyasa kijinsia kwa sababu hawaitambui heshima ya mwanamke " na sababu za kutoiheshimu hiyo heshima ukiachana na mfumo dume uliopo katika Jamii ya watu wetu wa Africa pia huwa linachangiwa kwa baadhi yenu nyinyi wanawake kuto iheshimu thamani yenu mliyonayo

I'm done

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusichokubali au tusichokielewa ni kwamba tulioko huku JF ndio haohao walioko huko makazini au mitaani kwetu,tofauti ni kwamba hapa hatujuani tu.
Ila nimependa umesema ukweli mchungu wengi humu tunajikuta maslay queen wakati nje ya hapa uhalisia wa maisha yetu unatisha hivyo hivyo kwa wanaume wa humu.
Hapo kwenye elimu ndo penyewe kabisaaa ujuaji mwingiiii na kutaka kuonekana kila mahali wakati ni zero Brain.
Anayekuambia ukweli anakupenda nakuunga mkono.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
 
Tusichokubali au tusichokielewa ni kwamba tulioko huku JF ndio haohao walioko huko makazini au mitaani kwetu,tofauti ni kwamba hapa hatujuani tu.
Ila nimependa umesema ukweli mchungu wengi humu tunajikuta maslay queen wakati nje ya hapa uhalisia wa maisha yetu unatisha hivyo hivyo kwa wanaume wa humu.
Hapo kwenye elimu ndo penyewe kabisaaa ujuaji mwingiiii na kutaka kuonekana kila mahali wakati ni zero Brain.
Anayekuambia ukweli anakupenda nakuunga mkono.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngwee Ngwee Nakazia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini na nyie. Members wengine muwage basi mnajitahidi kupitia pitia kwenye majukwaa mengine basii

Yaani nyinyi kila siku ngono tu kweli "

Binafsi huwaga nakuja MMU kwaajili ya kupata Ucheshi " nasio vinginevyo maana comments za watu wa jukwaa hili huwa ni zawatu wanao onyesha kwamba wamevurugwa mno aise ...

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]wadangaji wapo mpk intelligence sasa nkuambie!!!!msione mkadhani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom