Umeongea vyema " sana ... binafsi Jf imenifanya niweze kuijua vyema Jamii ya watu wetu ilivyo " huko nje watu wengi wana ishi maisha yao " kwa ku-fake maisha " ila uhalisia wa maisha yao upo humu .... huko nje wana jifanya ni watu smart sana "
Ila wakiwa humu ni waropokaji wakubwa " watukanaji ..wazinzi .malaya wa level ya PHD mbaya zaidi sasa kuna wanao fake huko nje mpaka humu wana fake lakini pm zao zimejaa mataka taka yote kiasi kwamba hata mods wakiyapitia wanabaki kuachama midomo wazi (gossshhh si fulani huyu !!!!!)
Hii ndio sababu iliyonifanya niupende huu mtandao kwa sababu watu wako real zaidi " tofauti na jinsi walivyo katika maisha ya kawaida .... ina saidia kuweza kukufanya uielewe vyema jamii yako ... hata ikitokea siku ukisikia mtakatifu fulani kabaka hauwezi kushangaa kwa sababu utakuwa umeshajua kwamba ule utakatifu aliokuwa amejipachika haikuwa rangi yake halisi bali ni fake tu ....
Sent using
Jamii Forums mobile app