Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Mwanaume anaetangaza kutafuta mchumba kama anaangiza gari kwanza ni domo zege pili hana akili...mke hatafutwi kama mnada bora uende hata badoo ujichagulie wapo malaya na wapo waliotulia.!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tatizo hujatoa ushahuri sisi madomo zege tutumie njia gani ili tuondokane na udomo zege
 
[emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28]huyo manzi sio mzima kwa kweli hizo sio akili matope!!! Vitu vingine hata std 7 failure hafanyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kuonana naye but anaonekana ni Bonge la Mdada anayejua kuishi maisha yake asiyefake mkweli na si mnafiki.
[emoji28][emoji1][emoji1][emoji1]acha kabisaa...Mimi nampendaga sana mzigua,sanaaaaa....she is she,herself and her...no pretending....!!! Luv her!!!Bonge La mdada,akili nyingi!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…