Ni kweli mkuu.Haya mkuu....ila usidanganywe na maandishi.
Nimekukumbuka tu pacha wangu at least wewe unashinda kule kwenye Forex....😎
hahahahahahhaah, hutaki ushindi wa mezani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana unanijibu kifupi hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaki kabisa. Nataka ushindi niutolee jasho. Huu wa kunipa bure bure sitaki
ameepusha shari mdada/mkaka wa watuSitaki kabisa. Nataka ushindi niutolee jasho. Huu wa kunipa bure bure sitaki
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umejazwa hekima. Hongera sanaNaheshimu privacy ya mtu mkuu ata nkikutana na nguchiro uko siwezi kuja kumtorea uharo umu jukwaani...nabaki nayo moyoni
Unamfahamu?
Hahaaa .. nilikuwa napita kimya kimya ... imenibidi nicheke