Ni kweli kabisa. Mimi kwa kweli kwa kukutana na watu nimejifunza kama nisingekutana nao nisingekaa nikajua kuna binadamu wa aina hizo''Kila unayekutana naye ana jambo la kukufunza"
Niliona mtu kaandika haya maneno kwenye status ya WhatsApp
Pia, tembea kwingi uone mengiNi kweli kabisa. Mimi kwa kweli kwa kukutana na watu nimejifunza kama nisingekutana nao nisingekaa nikajua kuna binadamu wa aina hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umbea tu umenisumbua hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa nitaenda mlilia nani? Itabidi uzoee tu maana nitakujaAbee nini? Kwani nimekunukuu wewe?
Yakikukuta ya kukukuta usije kwangu kunililia [emoji1787]
That's what I mean...Utaharibu kama una malengo ya kutafuta mtu
Ila siyo kila aliyeko ntandaoni anatafuta mwenza
Wengine wapo kupoteza muda
Mkuu....
Hivi kumbe humu jf kuna wanawake kwani...!!??[emoji53] [emoji53]
Sent using Jamii Forums mobile app
That's what I mean...
Inaweza kweli ukapata mwenza humu, ila itokee tu mmezoeana mpaka kufikia hatua ya kujuanaa.....
Mkizoeana, na kufikia hatua ya kujuana, tafsiri yake ni kuwa umeyachunguza maandishi yake kwa muda mrefuu...
Kujuana ndio mengine yanaweza endelezwaa....
Lkn km unakuja kusaka mchumba humu kwa kasi ya mwanga, tegemea aliyokutana nayo gudumee...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa nimekuelewa. Kweli kwa alichokua anakitafuta alichokutana nacho ni sahihi kabisa.That's what I mean...
Inaweza kweli ukapata mwenza humu, ila itokee tu mmezoeana mpaka kufikia hatua ya kujuanaa.....
Mkizoeana, na kufikia hatua ya kujuana, tafsiri yake ni kuwa umeyachunguza maandishi yake kwa muda mrefuu...
Kujuana ndio mengine yanaweza endelezwaa....
Lkn km unakuja kusaka mchumba humu kwa kasi ya mwanga, tegemea aliyokutana nayo gudumee...
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwako pia mkuuUko na uelewa, kitendo cha kukiri kuwa ni ukweli mchungu ni kiashiria tosha. Uwe na J2 njema!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi elewa jinsi ya kutofautisha jinsia huko PM.Wale unaokutanaga nao pm ni wanaume??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukasema kumbe baby mama kuna saa akili inachaji sema anajitoaga ufahamu tu.
Mimi all weather yani kokote nikikuta mada narara nayo mbere.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi elewa jinsi ya kutofautisha jinsia huko PM.
Na maranyingi nikienda PM yako huwa nakuwa na mambo ya msingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh mjumbe unasemaa...Mkuu....
Hivi kumbe humu jf kuna wanawake kwani...!!??[emoji53] [emoji53]
Sent using Jamii Forums mobile app