Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Utaharibu kama una malengo ya kutafuta mtu
Ila siyo kila aliyeko ntandaoni anatafuta mwenza

Wengine wapo kupoteza muda
That's what I mean...
Inaweza kweli ukapata mwenza humu, ila itokee tu mmezoeana mpaka kufikia hatua ya kujuanaa.....

Mkizoeana, na kufikia hatua ya kujuana, tafsiri yake ni kuwa umeyachunguza maandishi yake kwa muda mrefuu...

Kujuana ndio mengine yanaweza endelezwaa....

Lkn km unakuja kusaka mchumba humu kwa kasi ya mwanga, tegemea aliyokutana nayo gudumee...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safari njema mnaosakana humu
 
Utasema ukweli daima fitina kwako mwiko... Mkuu kwamba na wewe ni mwanaccm....

Uliyoandika sina shaka ni kweli tupu ila kwenye umri unajikweza sana... Inaonyesha unapenda ukubwa usijali na wewe utakuwa mkubwa... Sio kwamba ni mdogo kiivyo la hasha ila bado hujafika hata hatua ya kijana wa makamo

Kwa huu uzi vijana sasa jifunzeni wengine wananunua kwa bei rahisi wewe unakesha PM na kumuanzishia UZI wa kumtongoza....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
That's what I mean...
Inaweza kweli ukapata mwenza humu, ila itokee tu mmezoeana mpaka kufikia hatua ya kujuanaa.....

Mkizoeana, na kufikia hatua ya kujuana, tafsiri yake ni kuwa umeyachunguza maandishi yake kwa muda mrefuu...

Kujuana ndio mengine yanaweza endelezwaa....

Lkn km unakuja kusaka mchumba humu kwa kasi ya mwanga, tegemea aliyokutana nayo gudumee...

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa nimekuelewa. Kweli kwa alichokua anakitafuta alichokutana nacho ni sahihi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sijawahi kukutana na Avatar yeyote ya Kike ya JF kwa sababu sinaga blahblah nao,nauliza nachotaka na ninataka jibu la kibinadamu siyo kiavatar.Member wa kiume nimeshakutana na Avatar mmoja Male pale JKN ni Afisa uhamiaji nilikuwa nina tatizo fulani na ndiyo siku niliyohakikisha kweli kuna wana JF wanaojitambua na mungu amuongezee kwa msaada wake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukasema kumbe baby mama kuna saa akili inachaji sema anajitoaga ufahamu tu.
Mimi all weather yani kokote nikikuta mada narara nayo mbere.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa wanataka tujibane bane
Tuingie humu tuzungumzie career?!

Aaah basi 2019 itakuwa mwendo wa mabadiliko
 
Back
Top Bottom