Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Big brains ni madaktar uko utawakuta Muhimbili, Makampuni ya Ujenzi uko , Ma IT .....hkl hajawah kua Big Brains kua Serious basi.
 
Kweli kabisaa.
 
NJOONI KWANGU NINYI NYOTE MLIODHARAULIWA NA WANAUME NAMI NITAWAPUMZISHA

Single mothers njooni kwangu msikae kulalamika tu humu na kupeana support leteni vitoto vyenu niwasaidie kulea...[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee baba, umenichekesha sana
 
Daktar nyuzi za hivi huwa zinakimbia sana..hasa pale watendwa wanapoungana kuteteana..

Haukumbuki ule uzi wangu??? Mpaka nilipoamua kupandisha picha za mmoja wao..ndo wakatulia??.

Hivi wewe ndo Pugi eeh??

Hahahaa hilo jina linanichekeshaga sana aisee.

Halafu pia, Bwana Pepsi ndo nani eti? Ndo wewe huyo huyo au?

Ila we subiri tu...muda si mrefu sana utapanda uzi wa kuwasema ‘wanaume wa JF’ hapa.

Imeshakuwa kama kamchezo. Utoto utoto umekuwa mwingi sana.

Utadhani ni mashindano!!
 
Kwa mtizamo wangu, "hata mtunzi wa hii thread" naye ni "mwenye akili ndogo" kama anayowatusi waliowasiliana nao....

Ku-disclose mambo ya PM maana yake hata wewe ni "MSALITI" wa maisha ya watu wengine na unastahili "kuondolewa" katika JAMII

Nawatakia Mwaka Mpya wenye Heri na Fanaka....
.....
 
Hata mimi nimewatafuna sana masingle mothers wa humu ninaapa nitawala mpaka papuchi zenu zibaki zimeachama kama nini vile

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mmoja majuz kati ananitafuta kwa mbwembwe sanaaaa kunitisha ...ohooooo 'S' tulivoachana nmepata mwingine ..

Nani??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ananitajia mtu ambaye ana upungufu wa kinga mwilini

Nilimchekaaa balaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

JF POOL OF HIV ....MNAUANA WENYEWE KWA WENYEWE MAMAEEE.
 
Kuna mtu kaiba I'd yako au vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…