Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
🤣🤣🤣Sasa mtu unatongoza kwenye mtandao una bahatika kuwa na wanawake wengi kwa pamoja unawezaje kuandika kwamba wewe ni msafiiii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Sasa mtu unatongoza kwenye mtandao una bahatika kuwa na wanawake wengi kwa pamoja unawezaje kuandika kwamba wewe ni msafiiii.
100%.....nyuzi km hizi, Uwe unaniita mapema mkuuu !!!
Nije kucheka
Big brains ni madaktar uko utawakuta Muhimbili, Makampuni ya Ujenzi uko , Ma IT .....hkl hajawah kua Big Brains kua Serious basi.Mwanzo nlikuwa naamini wanawake walioko JF ni big brains, smart ones. Nikajiaminisha kwamba hapa ndo mahali pazuri pa kupatia mchumba.
Sikuwahi kuandika uzi wa kutafuta mchumba, but nimewafuata wale wanaotafuta kwenye PM zao sana. Nikaja kubahatika kumpata mdada mmoja ambaye niliona atanifaa kwani tulikuwa tunaendana kwa % kubwa plus tunatoka mkoa mmoja.
Tulianza mahusiano vizuri kabsa ambayo yalidumu kwa kipindi cha mwaka mmoja. Lakini mateso aliyokuja kunipa sitokaa niyasahau kamwe maishani mwangu. Mateso aliyonipa yule mwanamke yalikuw makubwa mnoo kwani yaligusa kila nyanja ya maisha yangu mpaka kazi yangu. Kwa funzo alilonipa yule mwanamke sidhan km kuna mwanamke atanipa shida tenaa maishan mwangu.
All in all namtakia maisha mema na Mungu ambariki.
AaahhNikweli ila sio kwa wadada tu hiyo mada ni ya wanaume na wanawake.
Nimeshawashauri tu.
Nipo mzee Baba, ila nmeadimika kiasi !! Wagonjwa wamekua wengi siku izi !!Vladimir upo?
Kweli kabisaa.NMEAMIANI ALICHOSEMA MLETA UZI. Kuna makahaba toka jana yanazunguka zunguka humu kujikosha na kujisafisha. Yameacha kulea au sijui hayana kazi. Yanacheka cheka na kusupportiana kwa namna mbalimbali
Mwanaume FISI AKIJA KWA AKILI NDOGO TU KWENYE HUU UZI ATAONDOKA NA MIZOGA MINGI. imo inazunguka zunguka tu kutafuta mabwana. Halafu mnakuja kulalamika hakuna waoaji siku hizi. Utaolewaje huna hata heshima na sisi waoaji tunataka mwanamke anayejiheshimu?
Mimi kwenye huu uzi nimeunganisha dots. Wahusika kwa asilimia 95 bado wamo humu humu kwenye uzi wanazunguka zunguka huku nao wakizungukwa na inzi.
Yeye mtoa mada ameendelea na maisha yake.katuachia sisi mafisi [emoji23][emoji23][emoji23] (sometime) na mizoga yetu imo humu humu. Wanawake wenye akili wamejibu mara moja then wamekuwa busy na maisha yao.
Daktar nyuzi za hivi huwa zinakimbia sana..hasa pale watendwa wanapoungana kuteteana..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee baba, umenichekesha sanaNJOONI KWANGU NINYI NYOTE MLIODHARAULIWA NA WANAUME NAMI NITAWAPUMZISHA
Single mothers njooni kwangu msikae kulalamika tu humu na kupeana support leteni vitoto vyenu niwasaidie kulea...[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Daktar nyuzi za hivi huwa zinakimbia sana..hasa pale watendwa wanapoungana kuteteana..
Haukumbuki ule uzi wangu??? Mpaka nilipoamua kupandisha picha za mmoja wao..ndo wakatulia??.
Aiseeeee hiii kitu niliwah isema
Kuna mmoja majuz kati ananitafuta kwa mbwembwe sanaaaa kunitisha ...ohooooo 'S' tulivoachana nmepata mwingine ..Hata mimi nimewatafuna sana masingle mothers wa humu ninaapa nitawala mpaka papuchi zenu zibaki zimeachama kama nini vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu kaiba I'd yako au vipiKuna mmoja majuz kati ananitafuta kwa mbwembwe sanaaaa kunitisha ...ohooooo 'S' tulivoachana nmepata mwingine ..
Nani??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ananitajia mtu ambaye ana upungufu wa kinga mwilini
Nilimchekaaa balaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JF POOL OF HIV ....MNAUANA WENYEWE KWA WENYEWE MAMAEEE.
😂😂😂😂😂😂Kwani ni wewe mhusika 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Demiss manengelo njoni hapaDemiss nipe taarifa zake ndo anaongoza kwa threads malavidavi