Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
Ok,Kama kusema Mimi sioi single mother ndiyo kuwasakama,then you are rightWapi nimeongelea wewe kuoa singo mazaz Pablo? Unaona sasa? Hapo nani anakua na stress sasa? Mimi naongelea wewe kuwasakama singo mamaz na sio uwaoe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu hili jina sio PoaMimi nimevuka mwaka salama na single mother wangu kwa raha zetu..
Naskia uzito hata kumuita single mother naombeni tuwatafutie jina jingine hawa malaika
Kundi maji vuguvuguNi ukweli mkuu japo katuongelea sisi tu. Huku tupo binadamu na kila mtu Ana tabia zake hivyo alichokisema kina ukweli sababu hao watu hata mtaani wapo.
Sema kanipa mawazo mimi sijui ndo niko kundi lipi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sanaMimi nimevuka mwaka salama na single mother wangu kwa raha zetu..
Naskia uzito hata kumuita single mother naombeni tuwatafutie jina jingine hawa malaika
Hivi pm ndio wapi? Mimi niliona watu wanaandika nipm na Mimi huwa naandika tu, sijapata majibu.Wale unaokutanaga nao pm ni wanaume??
Aisee,Wewe tajiri utakuwaje low profile.
Heri ya mwaka mpya.