Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Ni ukweli mkuu japo katuongelea sisi tu. Huku tupo binadamu na kila mtu Ana tabia zake hivyo alichokisema kina ukweli sababu hao watu hata mtaani wapo.
Sema kanipa mawazo mimi sijui ndo niko kundi lipi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kundi maji vuguvugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nimeanza kuonana na
Wadada wa Jf tangu 2012 ni Watu Poa
Tuu na wana jielewa na Kuna visu matata!!
Ina tegemea umekutana na wa aina gani
Cha kuchekesha wengine
Nipo nao ktk groups za wozap ila Id ya huku
Hawaifahamu na tumeshaonana na ni marafiki!!

Huwa napenda kuwazingua


Wengine na wazingua hata
Pm zao sizifahamu

Mfano
Demiss
Miss Natafuta
So mleta uzi haujafanya poa kuongelea ulio yaona huko pm na ulioonana nao

Happy New Year 2019
 
Back
Top Bottom