Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

aseee unawaza au unajieleza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiogope mama. Nenda na akili zako timamu ukikutana nao hutakutana na hizi. Shida ni kwamba ukute umeenda kuonana na mtu halafu ukamuelewa akaomba game ukampa ndo yaleee ya kuitwa malaya/kahaba

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo apo sasa wanatusema sana lol...mala hatuna akili mala makahaba jaman jamañ nmesikitika sana....
 
ÑADHANI 70% NI WALIOSHINDIKANA MTAANI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…