Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Oouh....nimekuelewa...itabidi tu-mprove wrong sasa.Kama kachukua muda wake kuandika habari ndefu kiasi hiki inawezekana ni kweli...ila inaweza kuwa sio kweli pia
Ila kuna sehemu nimeona kama kwa hajapatia hivi,kuhusu mtu kupendelea jukwaa la MMU na hizo tabia alizoziongelea za wadada hapo juu
Ila mwisho wa siku kama yaliyosemwa ni ya kweli,wenye ID za waliokutana/wasiliana na GuDume watakua wameupata ujumbe wao
Fanya basi hivyo.