Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana unanijibu kifupi hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana unanijibu kifupi hivyo?
Naanzaje kufuata upepo mie JF nimekuja mwenyewe sho. Kuna watu wakiguswa nitalipuka ila naona vitu vya watu niingilie akuuu. Kwanza napenda hakiNakupenda sana. Wewe si mnafiki wala hufatagi upepo. Uishi maisha marefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kumbe ulikuwa ume-jiandaa kwa battle ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana unanijibu kifupi hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kudagaa mkuu ndiyo niniTumooo kudanga sio dhambi atii[emoji28][emoji28][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji6][emoji6]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] endelea kutafuta hela za kumuhonga mama mkwe nitakupa hensham wangu bila shida[emoji1][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1] sifi mpk mwanao awe mume wangu nitampriyanka tu hakuna namnaaa!!!
Sijasifu ndo ukweli wenyewe...
Msalimie hendisam wangu wa baadae!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa nimeridhika sasa. Umeniandikia maneno matatu nikasema hapana sijazoea hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha kumbe ulikuwa ume-jiandaa kwa battle ..
Nakujibu kifupi kwa sababu nakuheshimu ati " ... so sitaki kuzidi zaidi huwenda nikajikuta natoka nje ya mstari wa hekima niliyo nayo dhidi yako " halafu nikajikuta nakuvunjia heshima " so sitaki hiyo kitu iweze kujiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Naanzaje kufuata upepo mie JF nimekuja mwenyewe sho. Kuna watu wakiguswa nitalipuka ila naona vitu vya watu niingilie akuuu. Kwanza napenda haki
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikubali nimuoe huyoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] endelea kutafuta hela za kumuhonga mama mkwe nitakupa hensham wangu bila shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa jinga kweli " .... hebu niache niende kuperuzi kwengine mimi "Hapa nimeridhika sasa. Umeniandikia maneno matatu nikasema hapana sijazoea hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Vibaya vibaya😂😂😂😂dyadya kuanzia Leo Marufuku kucomment MMU😂😂😂leo tumepopolewa😁😁
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya endelea kuperuziHahaa jinga kweli " .... hebu niache niende kuperuzi kwengine mimi "
Sent using Jamii Forums mobile app
Aweeeeeeee. Nakupenda pia mkwe wangu. Mie mwenzio kufake kulinishinda ndio maana siogopi kusema wala kufanya kitu humu na najua wapo rafiki zangu wanaonijua Ile Ile wapo sasa nikiigiza namdanganya nani jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Vibaya vibaya😂😂😂😂dyadya kuanzia Leo Marufuku kucomment MMU
Jamani Niko Sony max naangalia Sudhi Dagga ya Anushka Sharma na Varun Dhawan!!!!![emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]!!!!!
Mjadala huu hauishi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unanianza eeeh nitoe siri. [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sema kaka uko vizuri. Nikirudi turudie mechi Cc Phenomenal womanMbona orgasm siku ile ulifeki....
Ukanifanya nijione biiiingwa kumbe sina lolote[emoji85][emoji85][emoji85]