Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Uzi huu wa kufungia mwaka
Shukran@Gudume kwa uzi huu kuna mengi ya kujifunza hapa

Umeongea ukweli mtupu mkuu
Wengi humu wanavyoandika nyuzi na uchangiaji wao ndiyo maisha yao halisi nje ta jf

Ukweli unauma,najua wahusika mtachomwa na ukweli huu,mbadilike
Muanze 2019 kwa utofauti

Kuna mengi yanayojificha nyuma ya hizi fake Id

Don't trust anybody.

Sent using Jamii Forums mobile app
Trust nobody?
 
1: Wee mpuuzi Leo umeandika point mpaka nimekupenda bureeeeee.
2:yaan uliposema ukweli, yaan wanawake wengi wa humu ni single mothers, wamezalishwa tu kinachoniuma hapa hawakomi kutembea na wanaume wa mitandaoni, hii ni mbaya sana maana utazalishwa tena uachwe dia.ikitokea bahati mbaya basi isijirudie tena my dia

3:baadhi ya wanawake wa Jf ni wapuuzi kiasi kwamba wako radhi kuwasiliana na wanaume wa humu bila choice yeyote tu uko nae pm, my dia sio kila pm inajibiwa, Fanya research kutana na MTU wa maana, soma hata comments zake tangu ajiunge utagundua unaenda kukutana na nani my dia.
4: baadhi wanawake wa humu ni tegemezi, kodi ya Nyumba na vocha kila SAA wa naomba mwanaume, mnisamehe mm siombi ovyo na ikitokea naomba basi naomba hela ya maana sio vocha. Watu tuna njaa ila tumia akili jinsi ya kufikisha ombi lako, ila huwezi fanikisha hili kama huna choice ya MTU ulokutana nae.
5: baadhi ya wanawake wa humu hawana choice, yoyote anaekuja pm anamkubali tiyari kujuana nje ya jf , ndio Yale ya kuombana elfu 10000 akikunyima unakuja mwanzishia Uzi na I'd mpya, wanaume tuwape heshima yao mwanaume aombwagi elfu 10_ mwombe hata laki 5 akikunyima nae roho imsute😀
6: wanawake wa humu wengi wana magroup ya wasap ya kipumbavu sana ya kujuana na watu, wakikorofishana huko ndo wanakuja huku kuvuana nguo😀
7: wanawake wa Jf wengi wa Jf wamewavulia chupi wanaume, oh my God luckyline am still unique Nina choice ya MTU gani nikutane nae na ikitokea bahati mbaya nikakutana nae mwanaume anaejitambua.na si zaidi ya mmoja .

wanawake wenzangu tupunguze kujirahisisha kwa wanaume hawa humu mitandaoni, ndio maana gudume anawasema vibaya.

Embu fikiria MTU unamtumia video au picha uko uchi? Kesho mkikikosana nn kitatokea? Tuwe makini aisee

n.b kila nilichoandika hapa kiko humu Jf kawakumbusha tu tuwe makini, mengine nilikutana Nayo pm so msiniulize nimejuaje.

ombi tuache hizi mambo wanaume watukome kutuchamba vitu vya ajabu
 
Kuna mmoja majuz kati ananitafuta kwa mbwembwe sanaaaa kunitisha ...ohooooo 'S' tulivoachana nmepata mwingine ..

Nani??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ananitajia mtu ambaye ana upungufu wa kinga mwilini

Nilimchekaaa balaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

JF POOL OF HIV ....MNAUANA WENYEWE KWA WENYEWE MAMAEEE.
Hapa jf sie tunafanya ile wanaita 'hit and run'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mkuu HIV binadamu wameanza kuisikia leo kwani,

Unajishosha tu kupiga watu hayo mabeat
Kuna mmoja majuz kati ananitafuta kwa mbwembwe sanaaaa kunitisha ...ohooooo 'S' tulivoachana nmepata mwingine ..

Nani??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ananitajia mtu ambaye ana upungufu wa kinga mwilini

Nilimchekaaa balaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

JF POOL OF HIV ....MNAUANA WENYEWE KWA WENYEWE MAMAEEE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1: Wee mpuuzi Leo umeandika point mpaka nimekupenda bureeeeee.
2:yaan uliposema ukweli, yaan wanawake wengi wa humu ni single mothers, wamezalishwa tu kinachoniuma hapa hawakomi kutembea na wanaume wa mitandaoni, hii ni mbaya sana maana utazalishwa tena uachwe dia.ikitokea bahati mbaya basi isijirudie tena my dia

3:baadhi ya wanawake wa Jf ni wapuuzi kiasi kwamba wako radhi kuwasiliana na wanaume wa humu bila choice yeyote tu uko nae pm, my dia sio kila pm inajibiwa, Fanya research kutana na MTU wa maana, soma hata comments zake tangu ajiunge utagundua unaenda kukutana na nani my dia.
4: baadhi wanawake wa humu ni tegemezi, kodi ya Nyumba na vocha kila SAA wa naomba mwanaume, mnisamehe mm siombi ovyo na ikitokea naomba basi naomba hela ya maana sio vocha. Watu tuna njaa ila tumia akili jinsi ya kufikisha ombi lako, ila huwezi fanikisha hili kama huna choice ya MTU ulokutana nae.
5: baadhi ya wanawake wa humu hawana choice, yoyote anaekuja pm anamkubali tiyari kujuana nje ya jf , ndio Yale ya kuombana elfu 10000 akikunyima unakuja mwanzishia Uzi na I'd mpya, wanaume tuwape heshima yao mwanaume aombwagi elfu 10_ mwombe hata laki 5 akikunyima nae roho imsute[emoji3]
6: wanawake wa humu wengi wana magroup ya wasap ya kipumbavu sana ya kujuana na watu, wakikorofishana huko ndo wanakuja huku kuvuana nguo[emoji3]
7: wanawake wa Jf wengi wa Jf wamewavulia chupi wanaume, oh my God luckyline am still unique Nina choice ya MTU gani nikutane nae na ikitokea bahati mbaya nikakutana nae mwanaume anaejitambua.na si zaidi ya mmoja .

wanawake wenzangu tupunguze kujirahisisha kwa wanaume hawa humu mitandaoni, ndio maana gudume anawasema vibaya.

Embu fikiria MTU unamtumia video au picha uko uchi? Kesho mkikikosana nn kitatokea? Tuwe makini aisee

n.b kila nilichoandika hapa kiko humu Jf kawakumbusha tu tuwe makini, mengine nilikutana Nayo pm so msiniulize nimejuaje.

ombi tuache hizi mambo wanaume watukome kutuchamba vitu vya ajabu
Wanawake wa jf wamekupata vyema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom