Nishampenda nipeni njia ya kudumu nae

Mkuu kwahyo mimi ndio nakusanya watu wa namna hiyo wote humu sio
😄😄😄
 
Mkuu kwahyo mimi ndio nakusanya watu wa namna hiyo wote humu sio
😄😄😄
Mdogo wangu nakupasia pasi ya upendo unaikataa??
Mimi kila nikiona maza yeyote mtaani nawaza hata nichukue namba yake nikuletee rafiki yangu.
 
Mdogo wangu nakupasia pasi ya upendo unaikataa??
Mimi kila nikiona maza yeyote mtaani nawaza hata nichukue namba yake nikuletee rafiki yangu.
Alafu kumbe wee vishu jau sana et 😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄
Sio mda taoa mimi hvo nitakua mbali na hap watu mkuu
 
Hadi hapa ushafeli mbinu za kudumu nae[emoji1787]

[emoji16][emoji16]mbona hivyo jmn si unipe hizo mbinu za kudumu nae

Mbona kama jf Mimi ndio naongoza kwa kuachwa
 
You seems decent and honest.

Ila ndio hivyo hujabahatika kupata atakaekupenda na kukujali.

Anyway Kila la Kheri.
 
Ni pm nikwqmbie jambo
 
Hakuna mwanamke anayeweza kumshawishi mwanaume amuoe

Wewe endelea kuwa gatekeeper wa sex ila yeye atabaki kuwa gate keeper wa marriage

Akikukula akakuchoka atajua nani wa kufanya naye maisha

Mwanaume anaweza kuwa na wanawake 5 na wote akawatreat kama atawaoa lakini yeye ndiye anayejua yupi atamfanya wife
 
You seems decent and honest.

Ila ndio hivyo hujabahatika kupata atakaekupenda na kukujali.

Anyway Kila la Kheri.

Mkuu mimi nafikiri maMbo ni visevesa anaekupenda humpendi unaempenda hakupendi basi ni taflan
 
Hakuna mwanamke anayeweza kumshawishi mwanaume amuoe

Wewe endelea kuwa gatekeeper wa sex ila yeye atabaki kuwa gate keeper wa marriage

Akikukula akakuchoka atajua nani wa kufanya naye maisha

Sijazungumza masuala ya ndoa mkuu mda bado angalau ni win huo moyo basi kuoana ni hatua nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…