Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Tena utaachwa kwa namna mbaya sanaHahaha duuh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena utaachwa kwa namna mbaya sanaHahaha duuh
Endelea na mission yako ya kumteka, unaweza fanikiwa.Kwaiyo ushauri ni nini hapo [mention]Mr sound [/mention] maana hata hao wanaotutongoza wenyewe hawatuchukulii serious
Tena utaachwa kwa namna mbaya sana
Huyu kwanza ni yupi?
Ndio Boss Msukuma aliekuja hapo Ofisini kwenu?
Au yule uliekuwa unataka kuwa Main Chick?
Mkuu kwahyo mimi ndio nakusanya watu wa namna hiyo wote humu sioDadeki yani umepigwa pumbu bila kutongozwa halafu utegemee mwamba awe na mahusiano serious na wewe?
Na kaichapa mara mbili?
Punguza expectations juu yake, wanaume wengi ukishaonesha unamhitaji sana atakupuuza na vile kakukula bila maarifa mengi, kuna namna anakuchukulia.
Ushauri wa rejareja, usimpe attention sana, muache akuhangaikie, japo ni ngumu kama umeshampenda ila ndo ivo muache aje mwenyewe, usimforce utampoteza au atakutumia kwa haja zake maana anajua huchomoki.
Kila la kheri dada, kama akizingua na uko na 35+ basi kuna kijana humu wa kuitwa Poor Brain atakufaa sana.
Hadi hapa ushafeli mbinu za kudumu nae🤣Hatakuwa wa kwanza wala wa mwisho kuniacha walau nienjoy huo muda ambao bado hajaniacha [emoji1]
Mdogo wangu nakupasia pasi ya upendo unaikataa??Mkuu kwahyo mimi ndio nakusanya watu wa namna hiyo wote humu sio
😄😄😄
Kama ni Huyo ndio tabia yake, usiweke malengo makubwa.Huyohuyo
Alafu kumbe wee vishu jau sana et 😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄Mdogo wangu nakupasia pasi ya upendo unaikataa??
Mimi kila nikiona maza yeyote mtaani nawaza hata nichukue namba yake nikuletee rafiki yangu.
Hadi hapa ushafeli mbinu za kudumu nae[emoji1787]
Ni pm nikwqmbie jamboHabari
Niwe muwazi mimi nishamuelewa huyu Kijana.. mwanzo nilihisi upwiru tu nikamtamani ila Sasa najihisi kumpenda..
Tumeshakulana zaidi ya mara moja na namuhitaji zaidi..
Sasa niwaambie ukweli huyu bro hajanitamkia kama anahitaji mahusiano na mimi kama vile tulivyozoea namna ya utongozaji wa mwanaume kwa mwanamke
Ni ile tu ananichombeza chombeza maneno mazuri mazuri na amefanikiwa kuniteka hisia zangu mpk tukaishia kukulana (Sijutii maana na mimi nilikuwa na hamu zangu)
Kilichonileta hapa nataka ushaurii haswa kwa wanaume ni kwa namna gani huyu mwanaume nitampata yaani ikiwezekana awe wangu najua atakuwa ana mahusiano yake labda seriously but mimi hilo halina shida kikubwa ni kuwa hajaoa na kama mtu hajaoa ni kama yuko single
Jamani mwanaume ambae yuko single Hakuna kila mtu yuko na mtu haijalishi ni mahusiano seriously au yakuzuga sasa mimi nimuache huyu kwasababu zipi wakati hajanitamkia kuwa ana mtu na hajaoa( hii ni 100%) kwasababu nimeshafanya ujasusi wangu hana mke Kijana
Sasa mimi nataka kulipambania hili husiano ikiwezekana liwe husiano kwelikweli uzuri ni kuwa ninampenda so sidhani kama nita mtreat vibaya….
Sijamtamkia kuwa nampenda lakini matendo nazani kashaelewa..
Nishaurini namna ya kufanya ili niendelee kumuweka upande wangu au niendelee na maisha yangu
Nb: Sijawahi kumlilia shida hata siku moja yaani sijawah kuzungumza maswala ya kuombaomba hela hata tukionana huwa natumia nauli yangu kumfuata.
Yeye ndio hunipa muda wa kuondoka anasema nitaongezea nauli… suala la hela sio tatizo kwangu kwa kuwa nishampenda
Kama ni Huyo ndio tabia yake, usiweke malengo makubwa.
Tokea April hadi Leo kama angekuwa na malengo na wewe angekuwa ameishakwambia.
You seems decent and honest.
Ila ndio hivyo hujabahatika kupata atakaekupenda na kukujali.
Anyway Kila la Kheri.
Labda unagawa utamu kirahisi, au unasumbuliwa sana na nyege.[emoji16][emoji16]mbona hivyo jmn si unipe hizo mbinu za kudumu nae
Mbona kama jf Mimi ndio naongoza kwa kuachwa
Hakuna mwanamke anayeweza kumshawishi mwanaume amuoe
Wewe endelea kuwa gatekeeper wa sex ila yeye atabaki kuwa gate keeper wa marriage
Akikukula akakuchoka atajua nani wa kufanya naye maisha
😆😆😆😆Mtaachana tu
Mapenzi ya sasa sometimes ni ujanja ujanja tuYou seems decent and honest.
Ila ndio hivyo hujabahatika kupata atakaekupenda na kukujali.
Anyway Kila la Kheri.