Nishampenda nipeni njia ya kudumu nae

Mkuu mimi huwa naomba hela Kama simtaki yaani simpendi Sina future nae mwanzoni tu lazima niombe hela

Ila ikitokea nimekuelewa navuta subra kwanza utatoa mwenyewe tu hata situmii nguvu

Nimekuibia Siri hiyo
Kwa hiyo hawa wagogo wanaopiga mizinga wanaume ni kwa sababu hawawataki / kutowapenda hao wanaume?
 
Usijibu tena maana Huna Hekima
Nagonga kwenye msumari ili uelewe na kupata msaada, wenye hekima hawawezi kukuelimisha, maswali ya kipuuzi, wewe unafanya zinaa halafu unataka ushauri hata hivyo nimetumia maneno kificho coz najua.hapa.kuna watoto pamoja na wewe, unapelekewa moto na unapata burudani, tena unafikishwa kileleni halafu unataka ushauri?, yaani unajiachia, una bahati umepata mkunaji lakini umeamua kutusumbua na upwiru wako endelevu hapa, kwanza umekosa maadili, pambafu sana
 
Kwa hiyo hawa wagogo wanaopiga mizinga wanaume ni kwa sababu hawawataki / kutowapenda hao wanaume?

Ndio bhn Kama anakukomoa hakutaki japo kumpenda mtu inachukua muda endelea kumsikilizia kama ukimnyima hakasiriki basi yaweza kuwa anakupendaa

Ila wengi ni hivo
 

Si naomba ushaurii sasa
 
Hiyo sentensi ya mwisho ndipo napoamini mwanamke akikhpenda kweli hawakosi hela. Hapo hata kumuomba jamaa anaogopa anamuonea huruma
 
Huwa natoa ushauri kwa Wanaume wenzangu tu kwenye mambo kuhusu Mapenzi ila kwa Mwanamke aloo hapana mwanamke akishapenda huna la kumwambia asikii sijui Mungu sijui Wazazi sijui magonjwa atamsikia yule yule aliyempenda ye ndo atakuwA hivyo vyote nilivyovitaja.Huyu mtoa mada ingekuwa labda tunafahamiana na huyo bwana wake ni jamaa yangu au rafiki angu ningemshauri agonge mara moja tu inatosha maana mukizoeana kuna kulogana na mazoea ya kuwa na mtu kwa muda mrefu wanawake wa staili hii wa kugongwa bila kutongozwa wengi ni mademu wa kushoboka na kujilahisisha na Asilimia kubwa wana marafiki wengi wa kiume yaani ni pasua kichwa na enyi wanaume wenzangu ogopa wanawake wa hivi hawa ni wa hit and run.Nb:Mwenye Masikio na Asikie.
 

Vyote sino mkuu sishoboki ni upwiro to
 
Simuonei huruma si mlisema humu ili upate mtu wa kueleweka tuache kuomba ombaa hela au
Eeeh ndio ndio,ila jana kule x niliona mdada katoa ushuhuda kasema yeye meanaume akimpenda kweli ila kwelikweli hata kumuomba hela hawezi kabisa roho inamsuta. Ndio nimechukua reference hapo
 
Mkuu mimi huwa naomba hela Kama simtaki yaani simpendi Sina future nae mwanzoni tu lazima niombe hela

Ila ikitokea nimekuelewa navuta subra kwanza utatoa mwenyewe tu hata situmii nguvu

Nimekuibia Siri hiyo
Kuomba hela kwa usiempenda sio sawa, kutoomba hela kwa umpendae hakufanyi akupende zaidi.

kadogo2 una mifumo mibovu ya mahusiano.
 
Kuomba hela kwa usiempenda sio sawa, kutoomba hela kwa umpendae hakufanyi akupende zaidi.

kadogo2 una mifumo mibovu ya mahusiano.

Sijui ila mimi naonaga sina cha kupoteza kama mtu sijamuelewa

Na huyu naempenda sio kwamba sitomuomba no ila sitomkomoa na inachukua muda sana mpk nihakikishe ameniamini [emoji849]
 

Udhuria tu kikao cha wanaume Dada yetu, tutakupa free pass, wanaume kama hao? Labda wa kuvurugana tu, wengi tu washenzy tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…