Nishampenda nipeni njia ya kudumu nae

Nishampenda nipeni njia ya kudumu nae

UKWELI MCHUNGU

mwanaume ni ngum sana kumthamini mwanamke aliemla kimasihara bila kumtongoza

Kwaiyo ushauri ni nini hapo [mention]Mr sound [/mention] maana hata hao wanaotutongoza wenyewe hawatuchukulii serious
 
Dadeki yani umepigwa pumbu bila kutongozwa halafu utegemee mwamba awe na mahusiano serious na wewe?
Na kaichapa mara mbili?

Punguza expectations juu yake, wanaume wengi ukishaonesha unamhitaji sana atakupuuza na vile kakukula bila maarifa mengi, kuna namna anakuchukulia.

Ushauri wa rejareja, usimpe attention sana, muache akuhangaikie, japo ni ngumu kama umeshampenda ila ndo ivo muache aje mwenyewe, usimforce utampoteza au atakutumia kwa haja zake maana anajua huchomoki.

Kila la kheri dada, kama akizingua na uko na 35+ basi kuna kijana humu wa kuitwa Poor Brain atakufaa sana.

[emoji23][emoji23][emoji23] ushauri wa rejareja ni mzuri ila 35+ bado sana bado miaka 10 ngoja niitumie vzr kabla kufika huko
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ushauri wa rejareja ni mzuri ila 35+ bado sana bado miaka 10 ngoja niitumie vzr kabla kufika huko
Uzingatie, nakumbuka nilishamuumiza binti wa namna yako kumbe kweli alinipenda ila the way tumejigijigi zaidi ya mara moja kwa nanma za kizembe sikumpa kipaumbele. Makinika binti.
 
Uzingatie, nakumbuka nilishamuumiza binti wa namna yako kumbe kweli alinipenda ila the way tumejigijigi zaidi ya mara moja kwa nanma za kizembe sikumpa kipaumbele. Makinika binti.

Una kitu nime ku pm naona wengine wanacomment shit tu wakati nipo serious
 
Huyu kwanza ni yupi?

Ndio Boss Msukuma aliekuja hapo Ofisini kwenu?

Au yule uliekuwa unataka kuwa Main Chick?
 
Back
Top Bottom