Nishauri chochote niache kuyaogopa maisha

Nishauri chochote niache kuyaogopa maisha

Pole mno, jaribu hii mkuu inasaidia sana.
 
Pole mno, jaribu hii mkuu inasaidia sana.
Asante mkuu,. Wacha nitulie nisome sasa
 
Sikutishi ila hapo bado kuna binamu wangu alianza hivyo , masikio akaja miguu baadae akahamia kwenye mdogo ikawa sauti haitoki kabisa ..Alipelekwa nje na mzee wake alipata mashine ila mpaka leo kawa kama Bubu hata kuongea kaacha maana sauti haitoki .

Maajabu ana Masters kasoma chuo bila ya sup ,na anafanya shughuli zake fresh tu .
 
Ok
 
Pole sana, sijajua unaumwa au kusumbuliwa na ugonjwa gani lakini Kwa ishu kama hizo tabibu wa kwanza ni wewe mwenyewe, lazima uwe na Imani kuwa utapona na kukaa sawa...uhalisia ni kuwa unaumwa lakini kamwe usikubali hiyo Hali, lazima Kila siku ukiamka asubuhi useme "Nitapona tu, lazima nipone kwani Nina deni Kwa mungu".

Ukiwa na Imani utapona tu niamini mimi, watu wengi hupona kwanza Kwa kuamini kuwa wao wenyewe watapona, huponywi na daktari bali ni Imani yako ya kuamini kuwa utapona ndio hukuponya na vice versa is true, ukiamini kuwa dawa hazikuponyeshi basi kweli huponi.

Maybe umekata tamaa lakini litakuwa ni kosa kubwa sana kuwaza hivyo, Leo hii Kuna watu wana watoto na wanategemewa lakini Hali zao ni zaidi ya kwako but still wana matumaini kuwa muda wowote wanainuka. Inawezekana ww huna majukumu makubwa (I guess) basi ndio muda wako wa kujenga Imani Bora moyoni kiasi ukitingwa na majukumu mazito ya familia utakuwa ndo mtu wa kwanza kusimama imara na watoto wako au mume wako nk., mfariji wa familia yako.

Amini utapona, fikra zako za Sasa ndizo zitakuletea matokeo mbeleni, ukifikiri negative matokeo yatakuwa hayohayo vice versa is true, jua hofu "HUUA" usikubali hili la hofu likutawale.
 
Back
Top Bottom