Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Mleta mada Mpaka ameanza kuumwa na hatua aliyofikia huyo Mungu ameshindwaje kumsaidia?pole sana mungu atakusaidia itakua sawa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleta mada Mpaka ameanza kuumwa na hatua aliyofikia huyo Mungu ameshindwaje kumsaidia?pole sana mungu atakusaidia itakua sawa tu
Barikiwa sana mkuuPole sana, sijajua unaumwa au kusumbuliwa na ugonjwa gani lakini Kwa ishu kama hizo tabibu wa kwanza ni wewe mwenyewe, lazima uwe na Imani kuwa utapona na kukaa sawa...uhalisia ni kuwa unaumwa lakini kamwe usikubali hiyo Hali, lazima Kila siku ukiamka asubuhi useme "Nitapona tu, lazima nipone kwani Nina deni Kwa mungu".
Ukiwa na Imani utapona tu niamini mimi, watu wengi hupona kwanza Kwa kuamini kuwa wao wenyewe watapona, huponywi na daktari bali ni Imani yako ya kuamini kuwa utapona ndio hukuponya na vice versa is true, ukiamini kuwa dawa hazikuponyeshi basi kweli huponi.
Maybe umekata tamaa lakini litakuwa ni kosa kubwa sana kuwaza hivyo, Leo hii Kuna watu wana watoto na wanategemewa lakini Hali zao ni zaidi ya kwako but still wana matumaini kuwa muda wowote wanainuka. Inawezekana ww huna majukumu makubwa (I guess) basi ndio muda wako wa kujenga Imani Bora moyoni kiasi ukitingwa na majukumu mazito ya familia utakuwa ndo mtu wa kwanza kusimama imara na watoto wako au mume wako nk., mfariji wa familia yako.
Amini utapona, fikra zako za Sasa ndizo zitakuletea matokeo mbeleni, ukifikiri negative matokeo ya kuwa hayohayo vice is true, jua hofu "HUUA" usikubali hili la hofu likutawale.
Asante kwa ushauri mzuri rafiki,. Barikiwa sana
Pole sana, ndivyo maisha yalivyo na huo ndio ukubwa; ukisikia nyani mzee amekwepa mishale mingi, inamaanisha kuishi kwake ameweza kupambana na kutegua mitego mbali mbali ya kidunia. unaweza ukawa unateseka alafu wale uliowategemea wakupambanie wanakuwa wanachukulia kawaida sana au wasishughulike na wewe. Inawezekana pia kukawa na uswahili Unatakiwa upate mtu wa kukushika mkono na kukufariji, sasa hii itategemea na ndugu wanaokuzunguka, mme/mchumba, majirani n.k Nb: Katika kupigania uhai, tumia mbinu zote za kivita, iwe hospitali, maombezi, mitishamba n.k
wahenga walisema mdharau mguu mwiba huota tendeMleta mada Mpaka ameanza kuumwa na hatua aliyofikia huyo Mungu ameshindwaje kumsaidia?
Nakushauri hivi, ''In whatever you do, always do your best''.Wasalaaaam
Sijui niiwekaje hii,. Lakini naogopa tu nikiwaza haya maisha yanatakiwa yaende aje,, na kwanini inakua hivi🤔🤔
Au ni kwasababu nimeumwa sana nimeanza kupoteza matumaini?? Ata sijui nawaza nini🙌🙌,.
Yaani iko hivi, ni mwezi wa pili sasa unaelekea watatu siwezi kufanya chochote,,. kazi zangu na shughuli zangu ambazo nilikua nafanya mwenyewe ni watu ndio wananisaidia kufanya ( Hakuna hata kimoja kilichopo kwenye mstari,. Kila kitu kimevurugika, Hawafanyi kama ambavyo mwenyewe hua nafanya🥹🥹)..
Watu hata nyumbani naona wanalichukulia hili suala kawaida lakini mimi linaniogopesha sana,. Imagine nilikua nasikia vizuri tu lakini saizi sisikii,. Eti macho nayo yameanza kusumbua yaani navaa miwani hatakama sisomi kitu🤔🤔,. Kwamfano ndio ikawa hivi hivi mwisho wa siku si na miguu nayo itaanza kutokutembea na mikono kutokufanya kazi ( Na vipi kama ikiwa kweli???) Ina maana ndoto zangu zote ndio zitakua zimeishia hapa au??
Niambie au nishauri chochote ili niondokane na hii sijui ndio fear of unknown au nini??
Umejaribu kum-consult Mwamposa?.. yupo kawe hapo wewe upo wapi kwani?Wasalaaaam

Una umri gani kwa sasa? Umeolewa au hujaolewa tueleze kodogo mahusiano yako upate ushauriWasalaaaam

Misemo uchwara hii, isiyo na uhalisia wowote ule.wahenga walisema mdharau mguu mwiba huota tende
ila kwa sasa kwenye kizazi cheru tunasema hivi
mdharau maku makumamae
Ooh sawa lakini unaonaje hali yako mpaka kufika sasa tangu uanze matibabu?Bado naendelea na matibabu,
Nashukuru, natumaini utakuwa sana.Asante mkuu,. Wacha nitulie nisome sasa