Mr sule
JF-Expert Member
- Oct 14, 2021
- 606
- 1,110
Habari JF
Wadau Pitia hapa kama una uzoefu nishauri jambo hili.
Nataka nifungue ofisi kubwa mwezi wa kumi, ambayo itakuwa imebesed kwenye maswala ya
exhibition display designer
industrial / project designer(ila hiii sina hakika sana)
web designer
Photographer
Advertising & promotions manager
Film & video editor
Multimedia artist & animator
Graphics Designer
Ofisi nataka hiwe kubwa ili niwe natapa tenda kubwa kutoka kwenye makampuni mbali mbali na tenda za serekali. kwa vile ofisi nataka mwezi wa kumi hiwe tayari na mimi sina uwezoefu mkubwa wa vifaa vyote vinavyofaa katika jambo hili, nimepita hapa ili kupata ushauri kutoka kwako.
Baada ya kuwa na wazo hili kwa muda mrefu mwezi huu ni niliona nianze taratibu ya kupata vifaa, maana mimi nasearch google na ndo imenisaidia kupata vifaa vya Graphics Design and Printing. na ndo nimeoanza hatua ya kwanza ya ununuzi, nikaona siwezi kuelendelea pekee yangu, ngoja niwashirikisha JF nao nipate ushauri kutoka kwao.
Ila katika manunuzi yangu ya wiki hii, Nilinunua UV PRINTING FLATBED MACHINE. Hii nimeagiza kutoka china, nimenunua $7000 pamoja na vifaa vyake, hii nimenunua kwasabu ya kuprint cover, vioo, logo,banner .nk.. ina uwezo wa kuprint urefu wa 16cm, ina Uzito wa KL 230 and printing area 60*90cm. hii ndo mashine ghali nitanunua tu.
HEAT PRESS PRINTER: hii pamoja na fuctions zake nane hivi nimenunua kwa $150.
EMBROIDERY MACHINE, Nimenunua kwa $2,800.ina functions ya kofia, flat, T-shirt na socks.
LIBELING MACHINE, hii bei yake ni 1$99
Vifaa vingine kama DGT, CNC(ila kwa mwaka kesho), BUSINESS CARD CUTTER, LARGE FORMAT, zote ziko kwenye ratiba nitanunua taratibu.
huo ni upande wa graphics tu. lengo langu nataka ushauri wako kwenye list ambayo mambo yake sijanunua na kutoa ushauri vifaa gani vina huitaji mkubwa sana na Kufanya kazo zenye ubora zaidi hata ofisi kuwa na muoneka wa kisasa( napenda sana ofisi yenye muonekano mzuri wa vifaa).
Asante