Nishauri katika biashara hii nijifunze kutoka kwako

Mr sule

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2021
Posts
606
Reaction score
1,110
Habari JF

Wadau Pitia hapa kama una uzoefu nishauri jambo hili.
Nataka nifungue ofisi kubwa mwezi wa kumi, ambayo itakuwa imebesed kwenye maswala ya
exhibition display designer
industrial / project designer(ila hiii sina hakika sana)
web designer
Photographer
Advertising & promotions manager
Film & video editor
Multimedia artist & animator
Graphics Designer

Ofisi nataka hiwe kubwa ili niwe natapa tenda kubwa kutoka kwenye makampuni mbali mbali na tenda za serekali. kwa vile ofisi nataka mwezi wa kumi hiwe tayari na mimi sina uwezoefu mkubwa wa vifaa vyote vinavyofaa katika jambo hili, nimepita hapa ili kupata ushauri kutoka kwako.

Baada ya kuwa na wazo hili kwa muda mrefu mwezi huu ni niliona nianze taratibu ya kupata vifaa, maana mimi nasearch google na ndo imenisaidia kupata vifaa vya Graphics Design and Printing. na ndo nimeoanza hatua ya kwanza ya ununuzi, nikaona siwezi kuelendelea pekee yangu, ngoja niwashirikisha JF nao nipate ushauri kutoka kwao.

Ila katika manunuzi yangu ya wiki hii, Nilinunua UV PRINTING FLATBED MACHINE. Hii nimeagiza kutoka china, nimenunua $7000 pamoja na vifaa vyake, hii nimenunua kwasabu ya kuprint cover, vioo, logo,banner .nk.. ina uwezo wa kuprint urefu wa 16cm, ina Uzito wa KL 230 and printing area 60*90cm. hii ndo mashine ghali nitanunua tu.

HEAT PRESS PRINTER: hii pamoja na fuctions zake nane hivi nimenunua kwa $150.

EMBROIDERY MACHINE, Nimenunua kwa $2,800.ina functions ya kofia, flat, T-shirt na socks.

LIBELING MACHINE, hii bei yake ni 1$99

Vifaa vingine kama DGT, CNC(ila kwa mwaka kesho), BUSINESS CARD CUTTER, LARGE FORMAT, zote ziko kwenye ratiba nitanunua taratibu.

huo ni upande wa graphics tu. lengo langu nataka ushauri wako kwenye list ambayo mambo yake sijanunua na kutoa ushauri vifaa gani vina huitaji mkubwa sana na Kufanya kazo zenye ubora zaidi hata ofisi kuwa na muoneka wa kisasa( napenda sana ofisi yenye muonekano mzuri wa vifaa).

Asante
 
Hongera sana maana kutoa pesa kuanza biashara si maamuzi ya kitoto

Jitahidi upate machine ambazo zikileta hitilafu zitengenezeke hili ni jambo la kwanza boss

Kama ww haupo kwenye industry jitahidi upate mtu aliye kwenye industry asimamie

Siyo rahisi kupata watu wa kukushauri kuhusu machine ila tembelea maeneo ya kariakoo karibu na jangwani tafuta ofisi moja ujifunze kidogo hata kwa kuuliza maswali
 
Ndio mkuu, baada ya kuwa na wazo hili kwa muda, niliamua kupeleka vijana wawili kwenye course, hope mpaka mwez wa kumi watakuwa vizuri, vile vile napitia kwa washauri wengine hata hapa JF wapo.

Asante
 
Kama hutojali nitaku connect na jamaa mmoja anajua hayo mambo ya graphic design, ila yeye hana vifaa kwa sasa. huwa anachukua tenda ana design kwenye pc yake kisha anakwenda kuprint au softcopy zile za kupost online na kumpatia mteja, he is young, ambitious and hard working, anasoma chuo flan hapa mjini dar es salaam.
Mnaweza kudiscuss mawili matatu juu ya iyo biashara yako.
If it worth it njoo PM nikupatie Mawasiliano yake.
 
Ndio mkuu, baada ya kuwa na wazo hili kwa muda, niliamua kupeleka vijana wawili kwenye course, hope mpaka mwez wa kumi watakuwa vizuri, vile vile napitia kwa washauri wengine hata hapa JF wapo.

Asante
Mkuu hii ofis unafungua mkoa gan??
Kwanza location ina matter mzee baba
 
Hongera kwa udhubutu wako katika kuanzisha biashara.

Kwa hapa nina jambo moja la kuuliza. Tayari una proof of demand na initial possible connections za kupata wateja wa mwanzo?
 
Wateja wa mwanzo, hapana. mimi natengemea kufanya advirtise kwenye facebook, instagram na youtube. maana huwa ndo natumia katika biashara zangu na hajawahi kuniangusha. naweza kuweka hata budget ya $10 kwa kila siku. youtube, instagram na facebook. ili kuandaa mazingira ya wateja kuja kuona tunachofanya
 
Ukianza ulivyopanga utatoboa baada ya miaka 100. Hapo ni biashara nyingi na sio moja.

Ushauri wangu, specialize! specialize! specialize!
 
Mtaji wako Ni shilling ngapi?

Kwa hesabu zangu nataka hisizidi 50M.(yaani vifaa vya mwanzo plus fremu na matengenezo) ila budget ni endelevu kwa vitu muhimu vitakavyohitaji, vingine biashara itajiendesha
 
Kwanza Mkuu hongera kwa hizo Projects zako.
Kuhusu Embroidery Machine hapo ndo naweza kupaongelea kwa undani zaidi.

Hii project ni nzuri sana saana hasa ukiwa eneo lenye uhitaji ambalo halijachangamka kivile katika mambo ya uwekezaji wa namna hii kama vile mikoa ya Tabora, Shinyanga,Simiyu,n.k. maana huko kwa asilimia kubwa kazi zao za kudarizi wanazipeleka Mwanza,Dsm,na Kenya(Nairobi).

Mimi binafsi baada ya kazi za utalii kufa(due to covid 19),wengi tuliokuwa tumeajiriwa porini kazi zilikufa,hivyo nikarudi mjini kujipanga upya katika utafutaji. Kwenye kuhangaika na kusaka namna ya kujipatia kipato nikapata connection huko Mkoa X katika issue hii hii ya Embroidery. Nilienda kwanza kama mtu wa kutafuta masoko,pia nilikuwa sijui hata mashine inawashiwa wapi lakini kwa sasa naijua ipasavyo katika suala la kui operate.

Hivyo hii shughuli kukiwa na utafutaji serious wa masoko kuna hela nzuri sana. Changamoto niliyonayo mimi,mwekezaji ni kama hayuko serious,hana bajeti ya masoko,inakubidi utumie nguvu kubwa kutafuta masoko hasa maeneo ya jirani wakati mtu unatakiwa ufanye door to door hadi hizi ofisi za uma,mashule binafsi ndo kwenyewe! Na makampuni binafsi.

Mashine yako sijui ni ya vichwa vingapi au kampuni gani maana ziko tofauti kuanzia single head na kuendelea mpaka 50. Ila kwa kuanzia ukianza na ya Vichwa viwili kila kichwa sindano 12 angalau hata ukipata oda ya pieces 500 unaweza imaliza kwa siku chache mno.

Hakuna kazi au project isiyo na changamoto,ila kwa hii ya Embroidery naona ina faida na inasaidia kwa vijana na sisi kuweza kuendesha familia kama uwekezaji uko serious.

Niko tayari kuyajenga zaidi mimi na wewe kama itatokea ukawa na interest na mimi kwa maongezi zaidi,kwa ushauri na masuala ya kikazi ikibidi. PM iko wazi kwa mawasiliano zaidi!
 
Binafsi nina wazo la kufanya biashara kama yako ila kwa mkoa wa Dodoma. Thread hii imenipa mwanga mkubwa sana namna gani ya kuweza kuanza ku implement idea yangu pamoja na expected capital. Naomba kama hutojali unaweza ku share ulipofikia kwenye project yako na ulikutana na changamoto zipi.
 
kuna kipindi niliajiliwa na kampuni moja ya matangazo, kusema ukweli hatukua na vitu vingi kwa ajili ya production. Kitu pekee tulichoweza kuzalisha ni matangazo ya sauti tu na ile studio sidhan kama ilifika 4m. Tulichokua tunafanya kikubwa ni ku create ideas tunauza kwa wateja wetu.
Ningekua wewe, ningeachana na production kabisa, kua na team ya watu creative wa graphics, client service personnel na sound engneer hapa zalisha matangazo ya sauti mwenyewe. Hiyo timu iwe shapu, watundu, na wabunifu. Create an idea/event tafuta wateja ukipata outsource wazalishaji kama printers, photographers au videographers.
 
Habari JF

Wadau Pitia hapa kama una uzoefu nishauri jambo hili.
Nataka nifungue ofisi kubwa mwezi wa kumi, ambayo itakuwa imebesed kwenye maswala ya
exhibition display designer
industrial / project designer(ila hiii sina hakika sana)
web designer
Photographer
Advertising & promotions manager
Film & video editor
Multimedia artist & animator
Graphics Designer

Ofisi nataka hiwe kubwa ili niwe natapa tenda kubwa kutoka kwenye makampuni mbali mbali na tenda za serekali. kwa vile ofisi nataka mwezi wa kumi hiwe tayari na mimi sina uwezoefu mkubwa wa vifaa vyote vinavyofaa katika jambo hili, nimepita hapa ili kupata ushauri kutoka kwako.

Baada ya kuwa na wazo hili kwa muda mrefu mwezi huu ni niliona nianze taratibu ya kupata vifaa, maana mimi nasearch google na ndo imenisaidia kupata vifaa vya Graphics Design and Printing. na ndo nimeoanza hatua ya kwanza ya ununuzi, nikaona siwezi kuelendelea pekee yangu, ngoja niwashirikisha JF nao nipate ushauri kutoka kwao.

Ila katika manunuzi yangu ya wiki hii, Nilinunua UV PRINTING FLATBED MACHINE. Hii nimeagiza kutoka china, nimenunua $7000 pamoja na vifaa vyake, hii nimenunua kwasabu ya kuprint cover, vioo, logo,banner .nk.. ina uwezo wa kuprint urefu wa 16cm, ina Uzito wa KL 230 and printing area 60*90cm. hii ndo mashine ghali nitanunua tu.

HEAT PRESS PRINTER: hii pamoja na fuctions zake nane hivi nimenunua kwa $150.

EMBROIDERY MACHINE, Nimenunua kwa $2,800.ina functions ya kofia, flat, T-shirt na socks.

LIBELING MACHINE, hii bei yake ni 1$99

Vifaa vingine kama DGT, CNC(ila kwa mwaka kesho), BUSINESS CARD CUTTER, LARGE FORMAT, zote ziko kwenye ratiba nitanunua taratibu.

huo ni upande wa graphics tu. lengo langu nataka ushauri wako kwenye list ambayo mambo yake sijanunua na kutoa ushauri vifaa gani vina huitaji mkubwa sana na Kufanya kazo zenye ubora zaidi hata ofisi kuwa na muoneka wa kisasa( napenda sana ofisi yenye muonekano mzuri wa vifaa).

Asante
Mkuu hongera sana... nadhani nimekuja wakati muafaka Mungu akijalia tukafanya wote kazi pamoja. Ningependa hapo kwenye kitengo cha Embroidery unifikirie Brother. Najua ku operate mtambo wa Embroidery. And now niko Idle sina permanent task!

PM iko wazi mkuu
 
Back
Top Bottom