Nishaurini Ndugu zangu juu ya huyu mwanamke

Kama shetani aliyempitia bado hajafa basi jua atampitia tena. Na zamu hii atapita na kifutio kbs
 
Pole huna wife material hapo maana ni pamoja na kuwa na mwanamke anayejitambua na mtiifu.
 
Kwangu mimi mambo yote yangeisha pale alipo pata ujasiri wa kuniambia alikua na wanaume watatu. Kifupi hao wanaume watatu kama anaweza akasimama na kuwataja mbele yako ni dhahili hao kwake wamekuzidi kila kitu na wewe upo kwa sababu upo tu ....ila hao wanaume watatu wananguvu kukushinda Amini hivyo hutaki subiri Shari kamili
 
Kinachoonekana unampenda sana huyo mwanamke kuliko yeye anavyokupenda. Pia huyo dem ameshatembea na wanaume wengi ila ww kakuambia watatu tu na umemuamini.
Kama unataka ufe mapema oa huyo kiumbe, utakuja kujuta ile mbaya.
Bado umri mdogo, tuliza kichwa muombe Mungu utapata wa kufanana nae.
 

Kuna mawili achana naye au endelea kusubiri watu watumie kisha wakuachie
 
Huyo mwanamke Hakufai kwa ajili ya kumuoa na huo ndyo ukweli Face it. Unapata shida kwa sababu hutaki kukubaliana na ukweli. Utatengeneza Bomu kwenye maisha yako, move on. Wanawake wapo wengi sana,
 
Jenga daraja baba mahusiano yanavunjika
Hamna faraja huoni wanao wamekaza ndita
Jenga imani tena kwa wote waliogadhibika
Jenga kama ambavyo uliijenga hii nyumba kwa siku sita..🎶
 
We cha kufany tafta vibunda af pambania upate mtoto mngine mkariii kumzid ndo maish yanavyo taka xo kun'gan'gania mtu
Sio mama ako mzazi uyo kusema huwez kumwacha
 
Achana naye faster ili kuepuka madhara makubwa yanayoweza kutokea huko baadae.
 
Red flag, sasa puuza matumizi sahihi ya akili uje kulia baadae.
 
Huyo mwanamke hakupendi ,hakuheshimu na haoni hasara kukupoteza .Just move on for your own peace of mind..
 
Hutufai kiumeni
 
Nina uwezo wa kuwa hata na wanaume 10 ni maisha yangu.
Piga nyama chini mkuu, tumechoka hizi kesi za kuchomana moto na kuuana kisa wivu wa mapenzi, acheni kusumbua maRPC na watu wa mamlaka. Piga nyama chini.
 
Jiandae kumuacha taratibu hiyo tabia hawez kuiacha,wala usigombane,ukiona hivyo MUNGU kakuonyesha bado mapeama,by the way your still young,take courage
 
uko na mwanamke Malaya na bado hujui la kufanya, pole sana ndugu, subiri ifike siku uue au unywe sumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…