Nishaurini Ndugu zangu juu ya huyu mwanamke

Kijana miaka ishirini na saba ni mingi..sasa anza kuwa mwanaume..toka huko kwenye uvulana ulipo sasa. Fanya maamuzi hamna mtu hapo anakumanipulate tu na ugonjwa huo tiba yake ni uhuru wake tu..
 
1-3 Umeona sare apo bado Demu anamzidi msela
 
Hayo majibu nimesoma mpaka nimepandisha hasira hapa, imagine mimi sio mpenzi nina hasira kama hivi then wewe bado nampenda namoenda.

Una ujinga
 
Ukiwa na kazi na umesoma mpaka raha. Yani mwanaume unamfanya unavotaka mpaka anakuja jf kuomba ushauri mana wewe ni wife wa ndoto. Daah nimelia sana.
Ni kweli but not for long, in the long run kusoma kwako hakukusaidii kutengeneza long lasting relationship (else ungeolewa na lecture) na wanawake mnapokosea (japo si wote) ni kufikiri mwanaume anafuata elimu yako, unajidanganya, mwanaume anafuata peace, respect and making a family, the moment akikosa hata kimoja nisuala la muda atahama
 
Demu anakujibu hivyo na wewe upo tuu? Hapa ilitakiwa utupe mrejesho kuwa ushaachana nae unatupa way foward sio kuomba ushauri ufanyaje, kuna madem kibao mtaan bro achana na iyo takataka fasta
 
hivi kumbe bado watu mna ulizana umelala na wangapi [emoji81][emoji81][emoji81]dadekii

By the way ogopa sana mwanamke mwenye kazi tena mnae karibiana kipato .huna utacho mfanya kaa ulie apo yaki kushinda sepa kimya kimya
 
Ukizingatia mbususu zipo kibaoooo
 
HAFAI.Uzi ufungwe
 
Acha kujiita Mwanaume,,,Wewe bado ni Mvulana na sidhani kama bado ni rijali!!
 
Hakuna mwanamke wa kuoa hapo achana nae
 
hivi kuna watu tunanyenyekea na heshima kama sisi tusiosoma?ila unaonekana kuna kitu umepungukiwa! hujasoma huna kazi...

ila angalia mjamaa hapo analialia unadhani dada etu angekua jobless afu hajasoma angemlilia? angemuacha akaja na uzi kuwa mwanamke hafadhiliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…