Nishawai toka Kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote. Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja

Ilimwathiri vipi kiuchumi,kimaisha kwa ujumla?
 
nipo kwenye gari eti limekuja kukaa bila kusalimia baada ya muda linaniuliza leo chungu cha ngapi tena huku linatabasama halafu ni li-single mother nitamjibu sifatiri mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…