Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
HeheheKama hajatokea mtu akasema hii ni chai nabweka hapa hapa.
experienceH
Hehehe
Mimi niliuona jana huko FacebookHuu uzi nimeuona mchana au naota
Chai.unajua wanawake baadhi yao ni vilaza sana
if we click we click if we don't we won't
Kuna siku nipo kwenye Coster Naelekea Zangu Tunduma Akaja Mdada mmoj Mweupe Kavaa Head phone Maskion Kaja kukaa jiran Ajanisalimia Nikawa na mzoom tu Uku Na Angalia Pemben Tukawa tumefika sehemu inaitwa Mlowo nkanunua Zangu Chips Na majuisi na maji Safari ikaendelea tulivofika vyawa Eti Ananiuliza Hapa Ni Wapi nikamjbu Nika Mwambia Hapa tupo Boda Ya Zambia Tunaelekea Congo Alianza kupiga Kelele kwenye Gari Eti kondaaa nishushe me Congo siendi walimuona kaa Mwehu 🤣🤣
embu lete experince yako yeyote uliwahi kutana nayo ya watu wasiojua kusalimia💥
Mimi niliuona jana huko Facebook
Eeh niambie hii stori uliiona wapi ikakuvutia.unajua wanawake baadhi yao ni vilaza sana
if we click we click if we don't we won't
Kuna siku nipo kwenye Coster Naelekea Zangu Tunduma Akaja Mdada mmoj Mweupe Kavaa Head phone Maskion Kaja kukaa jiran Ajanisalimia Nikawa na mzoom tu Uku Na Angalia Pemben Tukawa tumefika sehemu inaitwa Mlowo nkanunua Zangu Chips Na majuisi na maji Safari ikaendelea tulivofika vyawa Eti Ananiuliza Hapa Ni Wapi nikamjbu Nika Mwambia Hapa tupo Boda Ya Zambia Tunaelekea Congo Alianza kupiga Kelele kwenye Gari Eti kondaaa nishushe me Congo siendi walimuona kaa Mwehu 🤣🤣
embu lete experince yako yeyote uliwahi kutana nayo ya watu wasiojua kusalimia💥
chai yenyewe ya wiziChai.
mkuu huyo angekutana na mimi nadhani angetubu ningemwambia naomba kupita ili hutoe vizuri🤣🤣🤣🤣Natoka Sirari mida ya usiku naelekea Mwanza njiani akapanda dada mmoja mrembo ana mikogo mingi, headphones kwa masikio, pillow kwa shingo na simu kubwa akichati chat muda wote.
Sasa wakati wa kukaa akachagua siti ya pembeni yangu akiwa na begi kubwa ikabidi aliweke chini ya siti likawa limesogea hadi kwa miguu yangu. Ajabu ni kuwa hakutoa salamu kuonesha kuwa ni mtu mstaarabu nami nikakausha hadi tukafika Mwanza ile kushuka anahangaika kutoa begi lake kwa aibu akashindwa kusema nimsaidie, bila hiyana mimi nikamsaidia kulitoa na kulibeba aiseee niliona jinsi alivyokuwa aki feel guilty. Nikaishia zangu.
Na leo mchana Dogoli kinyamkela kaposti kama hii sasa sijui wanauziana auMbona post kama hii nimeiona Facebook jana
mkuu hawa wanawake baadhi yao ni wapuuzi sanaKama Yusufu Kagoma......Safi sana. Dawa ya jeuri ni kiburi
Hehehe!!!Umeiba uzi wa watu.
Kuuuuuuuuuumbe!!!!! Hehehehehehehehehehehehehehehehe!!!!Wenye double ID wepesi kujisahau...
Nishawai toka Kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote!!
Nishawai toka kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote!! Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja!! Ama nilizingua? BRAZA CHOGO Nikifa MkeWangu Asiolewe Han Kyulwww.jamiiforums.com
mkuu letu experience yako yeyote