kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
- Thread starter
-
- #61
kusalimia ni utamadini wa kiafrika au wewe umelelewa na machangudoaš¤Kuna uhusiano wa karibu sana kati ya umaskin na kupenda kusalimiwa
Lete ushahidi kama kweli kusalimia ni utamaduni wa kiafrikakusalimia ni utamadini wa kiafrika au wewe umelelewa na machangudoaš¤
mimi nimekuelewa na huo ndiyo utu ila hawa mademu wakishajipulizia yale mapafyumu yao tu basi wote walikuwa mbele ni mbwaš¤£Muda mwingi haina haja kushindana nao. Akikukuta na hajakusalimia we piga kimya.
Akihitaji msaada msaidie vizuri huku unamsindikizia kwa tabasamu maridhawa.
Safari kuna mambo mengi. Huwezi jua mkiwa njiani atakufaa kwa lipi.
Mabasi yenyewe yanachangamoto sana.
Kama umenielewa lakini.
We jamaa huna akili kabisa ila huyo dada ndio kabisaaaunajua wanawake baadhi yao ni vilaza sana
if we click we click if we don't we won't
Kuna siku nipo kwenye Coster Naelekea Zangu Tunduma Akaja Mdada mmoj Mweupe Kavaa Head phone Maskion Kaja kukaa jiran Ajanisalimia Nikawa na mzoom tu Uku Na Angalia Pemben Tukawa tumefika sehemu inaitwa Mlowo nkanunua Zangu Chips Na majuisi na maji Safari ikaendelea tulivofika vyawa Eti Ananiuliza Hapa Ni Wapi nikamjbu Nika Mwambia Hapa tupo Boda Ya Zambia Tunaelekea Congo Alianza kupiga Kelele kwenye Gari Eti kondaaa nishushe me Congo siendi walimuona kaa Mwehu š¤£š¤£
embu lete experince yako yeyote uliwahi kutana nayo ya watu wasiojua kusalimiaš„
We jamaa huna akili kabisa ila huyo dada ndio kabisaaa
Yes kama mamaako alivyo changudoakusalimia ni utamadini wa kiafrika au wewe umelelewa na machangudoaš¤
Dogoli kinyamkela naona na pacha wako mlikutaniza mdada mweupe!?unajua wanawake baadhi yao ni vilaza sana
if we click we click if we don't we won't
Kuna siku nipo kwenye Coster Naelekea Zangu Tunduma Akaja Mdada mmoj Mweupe Kavaa Head phone Maskion Kaja kukaa jiran Ajanisalimia Nikawa na mzoom tu Uku Na Angalia Pemben Tukawa tumefika sehemu inaitwa Mlowo nkanunua Zangu Chips Na majuisi na maji Safari ikaendelea tulivofika vyawa Eti Ananiuliza Hapa Ni Wapi nikamjbu Nika Mwambia Hapa tupo Boda Ya Zambia Tunaelekea Congo Alianza kupiga Kelele kwenye Gari Eti kondaaa nishushe me Congo siendi walimuona kaa Mwehu š¤£š¤£
embu lete experince yako yeyote uliwahi kutana nayo ya watu wasiojua kusalimiaš„
Uyu jamaa mduwanzi mkuu šššDogoli kinyamkela naona na pacha wako mlikutaniza mdada mweupe!?
š„š„Dogoli kinyamkela naona na pacha wako mlikutaniza mdada mweupe!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama hajatokea mtu akasema hii ni chai nabweka hapa hapa.
Dar - Songea!! Hii iliwahi nikuta nilikaa na mjeda. LOLSawa hata kama umetudanganya [emoji1787].
Na sisi tunaotoka dar-mbeya,arusha-mbeya,Dar-Songea,dar-kigoma bila kuongea mpaka tunafika na hatuna stori kabisa unatusaidiaje?[emoji1787][emoji1787]
Ndo uje unianike apa sijapendaaaaDar - Songea!! Hii iliwahi nikuta nilikaa na mjeda. LOL
Em sema kwelii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo uje unianike apa sijapendaaaa
Ha ha ha ha ha ha ha haunajua wanawake baadhi yao ni vilaza sana
if we click we click if we don't we won't
Kuna siku nipo kwenye Coster Naelekea Zangu Tunduma Akaja Mdada mmoj Mweupe Kavaa Head phone Maskion Kaja kukaa jiran Ajanisalimia Nikawa na mzoom tu Uku Na Angalia Pemben Tukawa tumefika sehemu inaitwa Mlowo nkanunua Zangu Chips Na majuisi na maji Safari ikaendelea tulivofika vyawa Eti Ananiuliza Hapa Ni Wapi nikamjbu Nika Mwambia Hapa tupo Boda Ya Zambia Tunaelekea Congo Alianza kupiga Kelele kwenye Gari Eti kondaaa nishushe me Congo siendi walimuona kaa Mwehu š¤£š¤£
embu lete experince yako yeyote uliwahi kutana nayo ya watu wasiojua kusalimiaš„
mbona unacheka mkuuHa ha ha ha ha ha ha ha