Nishawai toka Kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote. Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja

Muda mwingi haina haja kushindana nao. Akikukuta na hajakusalimia we piga kimya.
Akihitaji msaada msaidie vizuri huku unamsindikizia kwa tabasamu maridhawa.

Safari kuna mambo mengi. Huwezi jua mkiwa njiani atakufaa kwa lipi.

Mabasi yenyewe yanachangamoto sana.

Kama umenielewa lakini.
 
mimi nimekuelewa na huo ndiyo utu ila hawa mademu wakishajipulizia yale mapafyumu yao tu basi wote walikuwa mbele ni mbwa🤣
 
mbeya moja hiyo
20250127_153032.jpg
 
unajua wanawake baadhi yao ni vilaza sana

if we click we click if we don't we won't

Kuna siku nipo kwenye Coster Naelekea Zangu Tunduma Akaja Mdada mmoj Mweupe Kavaa Head phone Maskion Kaja kukaa jiran Ajanisalimia Nikawa na mzoom tu Uku Na Angalia Pemben Tukawa tumefika sehemu inaitwa Mlowo nkanunua Zangu Chips Na majuisi na maji Safari ikaendelea tulivofika vyawa Eti Ananiuliza Hapa Ni Wapi nikamjbu Nika Mwambia Hapa tupo Boda Ya Zambia Tunaelekea Congo Alianza kupiga Kelele kwenye Gari Eti kondaaa nishushe me Congo siendi walimuona kaa Mwehu 🤣🤣

embu lete experince yako yeyote uliwahi kutana nayo ya watu wasiojua kusalimiašŸ’„
We jamaa huna akili kabisa ila huyo dada ndio kabisaaa
 
Dogoli kinyamkela naona na pacha wako mlikutaniza mdada mweupe!?
 
unajua wanawake baadhi yao ni vilaza sana

if we click we click if we don't we won't

Kuna siku nipo kwenye Coster Naelekea Zangu Tunduma Akaja Mdada mmoj Mweupe Kavaa Head phone Maskion Kaja kukaa jiran Ajanisalimia Nikawa na mzoom tu Uku Na Angalia Pemben Tukawa tumefika sehemu inaitwa Mlowo nkanunua Zangu Chips Na majuisi na maji Safari ikaendelea tulivofika vyawa Eti Ananiuliza Hapa Ni Wapi nikamjbu Nika Mwambia Hapa tupo Boda Ya Zambia Tunaelekea Congo Alianza kupiga Kelele kwenye Gari Eti kondaaa nishushe me Congo siendi walimuona kaa Mwehu 🤣🤣

embu lete experince yako yeyote uliwahi kutana nayo ya watu wasiojua kusalimiašŸ’„
Ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom