Nishawai toka Kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote. Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja

Ukimya.. utulivu...kutotabirika....kutowashobokea hovyo hawa wake/wanawake zetu....ni jambo adhimu mno.....

Upokee mpira vile wanavyokusogezea.......
.
Inahitaji akili kubwa sana kwa mwanamme kuishi/date mwanamke na hapohapo awe anakwepa "kila aina ya madhara yanayoelekezwa"..


#Alpha Male hapa!
 
Ha ha ha ha
 
unajua mkuu hawa wenzetu akili kisoda🤣🤣
 
Gentlemanship....

Unnecessary ego is havoc....

Kudos !
 
Ni insecurity nadhani hana muonekano wa kuvutia inamtesa
Mtu mstaarabu ambaye anafahamu kuwa kusalimiana kwa watu walio kaa karibu ni uungwana....leo aambiwe ana "inferiorities & insecurities" za kuwa na mwonekano hafifu mbele ya hao "wanyange"?!!

Duuh tuhuma hizi ndizo hizo EGO zenyewe.....

Ukikaa na waingereza hata kama hamjuani na mmekaa karibu utasikia "hello" halafu imekwisha hiyo...ila hawa wazungu-weusi wanajitia kuwadogosha wengine....ha ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…