Nishawai toka Kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote. Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja

Nishawai toka Kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote. Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja

Ukimya.. utulivu...kutotabirika....kutowashobokea hovyo hawa wake/wanawake zetu....ni jambo adhimu mno.....

Upokee mpira vile wanavyokusogezea.......
.
Inahitaji akili kubwa sana kwa mwanamme kuishi/date mwanamke na hapohapo awe anakwepa "kila aina ya madhara yanayoelekezwa"..

#Alpha Male hapa!
 
Ha ha ha point....
20250122_191513.jpg
tunanyosha vilivyopinda mkuu🤣🤣
 
lazima atatokea weak man

kuna siku nilikuwa kwenye hiace naenda zangu kazini akaja dada mmoja alikata pembeni yangu akusamilia wala nini chuma ikanza safari konda akachua nauli zake pale sasa yule mdada akatoa elfu tano konda akamrudishia elfu 3000 kumbuka muda wote hajanisalimia sasa alivyorudishiwa hiyo chenji ndo akaniuliza nauli ya hiace bei gani ?? mimi bila hiana nikamwambia Elfu saba
Ha ha ha ha
 
Ukimya.. utulivu...kutotabirika....kutowashobokea hovyo hawa wake/wanawake zetu....ni jambo adhimu mno.....

Upokee mpira vile wanavyokusogezea.......
.
Inahitaji akili kubwa sana kwa mwanamme kuishi/date mwanamke na hapohapo awe anakwepa "kila aina ya madhara yanayoelekezwa"..

#Alpha Male hapa!
unajua mkuu hawa wenzetu akili kisoda🤣🤣
 
Natoka Sirari mida ya usiku naelekea Mwanza njiani akapanda dada mmoja mrembo ana mikogo mingi, headphones kwa masikio, pillow kwa shingo na simu kubwa akichati chat muda wote.

Sasa wakati wa kukaa akachagua siti ya pembeni yangu akiwa na begi kubwa ikabidi aliweke chini ya siti likawa limesogea hadi kwa miguu yangu. Ajabu ni kuwa hakutoa salamu kuonesha kuwa ni mtu mstaarabu nami nikakausha hadi tukafika Mwanza ile kushuka anahangaika kutoa begi lake kwa aibu akashindwa kusema nimsaidie, bila hiyana mimi nikamsaidia kulitoa na kulibeba aiseee niliona jinsi alivyokuwa aki feel guilty. Nikaishia zangu.
Gentlemanship....

Unnecessary ego is havoc....

Kudos !
 
Ni insecurity nadhani hana muonekano wa kuvutia inamtesa
Mtu mstaarabu ambaye anafahamu kuwa kusalimiana kwa watu walio kaa karibu ni uungwana....leo aambiwe ana "inferiorities & insecurities" za kuwa na mwonekano hafifu mbele ya hao "wanyange"?!!

Duuh tuhuma hizi ndizo hizo EGO zenyewe.....

Ukikaa na waingereza hata kama hamjuani na mmekaa karibu utasikia "hello" halafu imekwisha hiyo...ila hawa wazungu-weusi wanajitia kuwadogosha wengine....ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom