Nishawai toka Kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote. Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja

hongera kwa kucopy inaonekana unaham ya kuchangamsha jukwaa lkn haukuwa na lakusema ukaamua kuja kupaste
 
🀣🀣🀣, huyo bimkubwa nilisafiri nae nikiwa na nauli tu sina hela ya kula njiani. Mwenyewe kajinunulia masoda na machips kala kashiba baada ya hapo ananiuliza hapa tupo wapi? Tupo Afghanistan 😑😑😑
 
🀣🀣🀣, huyo bimkubwa nilisafiri nae nikiwa na nauli tu sina hela ya kula njiani. Mwenyewe kajinunulia masoda na machips kala kashiba baada ya hapo ananiuliza hapa tupo wapi? Tupo Afghanistan 😑😑😑
sawa sawa hiyo dawa tosha kwa mtu mjinga
 
typing error mkuu ila lete experince yako kutoka kwa hawa maghost wasio salimia
Mimi nilipanda gari kutoka songea mpaka dar, niliingia pale nikakaa siti nloandikiwa kwenye ticket, lakini konda akanihamisha akanikatia ticket ya kielectroniki ndo akanipanga na demu mmoja hivi

Anaonekana ni malaya coz alikuwa anawasiliana na wanaume tofauti tofauti πŸ‘€

Picha linaanza demu kapiga kisuruali Cha kumbana cha jinsi halafu kavaa tishet nyeupee, kasuka nywele ya gharama halafu simu mbili iphone 15 kwa Samsung sijui s ngapii Ile USO mweupe umetobolewa pua 😏😏

NIKIMSALIMIA "mambo" akakaa kimya halafu eti akatoka air pods akavaa masikioni nikaona isiwe KESI, nikakaa zangu kimyaaa..........

Toka songea akaja niongelesha morogoro Eti kaka hapa wapi nikamjibu hapa mwanza!πŸ€£πŸ€£πŸ˜ƒ
 
🀣🀣🀣, huyo bimkubwa nilisafiri nae nikiwa na nauli tu sina hela ya kula njiani. Mwenyewe kajinunulia masoda na machips kala kashiba baada ya hapo ananiuliza hapa tupo wapi? Tupo Afghanistan 😑😑😑
Aaaah weeeh aaaaah wapiπŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
usingemwambia tuko mwanza ungemwambia tupo boda la misri na ukraine ungetisha mkuu🀣🀣
 
kuna safari moja nilikuwa natoka dodoma naelekea morogororo nanenane sasa kwenye siti nilipo nakaa na kajamaa kamoja sijuhi ni kashoga nilikisalimia nikatua basi kile kijamaa kila muda kinaongea na simu yani huwa nakerekwa nikiona mwanaume anakuwa na tabia za kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…