Nishawai toka Kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote. Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja

Chai ya Tangawizi imezidi ukali
20241219_170159.jpg
 
hongera kwa kucopy inaonekana unaham ya kuchangamsha jukwaa lkn haukuwa na lakusema ukaamua kuja kupaste
 
unajua wanawake baadhi yao ni vilaza sana

if we click we click if we don't we won't

Kuna siku nipo kwenye Coster Naelekea Zangu Tunduma Akaja Mdada mmoj Mweupe Kavaa Head phone Maskion Kaja kukaa jiran Ajanisalimia Nikawa na mzoom tu Uku Na Angalia Pemben Tukawa tumefika sehemu inaitwa Mlowo nkanunua Zangu Chips Na majuisi na maji Safari ikaendelea tulivofika vyawa Eti Ananiuliza Hapa Ni Wapi nikamjbu Nika Mwambia Hapa tupo Boda Ya Zambia Tunaelekea Congo Alianza kupiga Kelele kwenye Gari Eti kondaaa nishushe me Congo siendi walimuona kaa Mwehu 🤣🤣

embu lete experince yako yeyote uliwahi kutana nayo ya watu wasiojua kusalimia💥
🤣🤣🤣, huyo bimkubwa nilisafiri nae nikiwa na nauli tu sina hela ya kula njiani. Mwenyewe kajinunulia masoda na machips kala kashiba baada ya hapo ananiuliza hapa tupo wapi? Tupo Afghanistan 😡😡😡
 
typing error mkuu ila lete experince yako kutoka kwa hawa maghost wasio salimia
Mimi nilipanda gari kutoka songea mpaka dar, niliingia pale nikakaa siti nloandikiwa kwenye ticket, lakini konda akanihamisha akanikatia ticket ya kielectroniki ndo akanipanga na demu mmoja hivi

Anaonekana ni malaya coz alikuwa anawasiliana na wanaume tofauti tofauti 👀

Picha linaanza demu kapiga kisuruali Cha kumbana cha jinsi halafu kavaa tishet nyeupee, kasuka nywele ya gharama halafu simu mbili iphone 15 kwa Samsung sijui s ngapii Ile USO mweupe umetobolewa pua 😏😏

NIKIMSALIMIA "mambo" akakaa kimya halafu eti akatoka air pods akavaa masikioni nikaona isiwe KESI, nikakaa zangu kimyaaa..........

Toka songea akaja niongelesha morogoro Eti kaka hapa wapi nikamjibu hapa mwanza!🤣🤣😃
 
🤣🤣🤣, huyo bimkubwa nilisafiri nae nikiwa na nauli tu sina hela ya kula njiani. Mwenyewe kajinunulia masoda na machips kala kashiba baada ya hapo ananiuliza hapa tupo wapi? Tupo Afghanistan 😡😡😡
Aaaah weeeh aaaaah wapi😏😂😂😂
 
Mimi nilipanda gari kutoka songea mpaka dar, niliingia pale nikakaa siti nloandikiwa kwenye ticket, lakini konda akanihamisha akanikatia ticket ya kielectroniki ndo akanipanga na demu mmoja hivi

Anaonekana ni malaya coz alikuwa anawasiliana na wanaume tofauti tofauti 👀

Picha linaanza demu kapiga kisuruali Cha kumbana cha jinsi halafu kavaa tishet nyeupee, kasuka nywele ya gharama halafu simu mbili iphone 15 kwa Samsung sijui s ngapii Ile USO mweupe umetobolewa pua 😏😏

NIKIMSALIMIA "mambo" akakaa kimya halafu eti akatoka air pods akavaa masikioni nikaona isiwe KESI, nikakaa zangu kimyaaa..........

Toka songea akaja niongelesha morogoro Eti kaka hapa wapi nikamjibu hapa mwanza!🤣🤣😃
usingemwambia tuko mwanza ungemwambia tupo boda la misri na ukraine ungetisha mkuu🤣🤣
 
kuna safari moja nilikuwa natoka dodoma naelekea morogororo nanenane sasa kwenye siti nilipo nakaa na kajamaa kamoja sijuhi ni kashoga nilikisalimia nikatua basi kile kijamaa kila muda kinaongea na simu yani huwa nakerekwa nikiona mwanaume anakuwa na tabia za kike
 
Back
Top Bottom