Nishawai toka Kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote. Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja

1738828931243.jpg
 
unajua wanawake baadhi yao ni vilaza sana

if we click we click if we don't we won't

Kuna siku nipo kwenye Coster Naelekea Zangu Tunduma Akaja Mdada mmoj Mweupe Kavaa Head phone Maskion Kaja kukaa jiran Ajanisalimia Nikawa na mzoom tu Uku Na Angalia Pemben Tukawa tumefika sehemu inaitwa Mlowo nkanunua Zangu Chips Na majuisi na maji Safari ikaendelea tulivofika vyawa Eti Ananiuliza Hapa Ni Wapi nikamjbu Nika Mwambia Hapa tupo Boda Ya Zambia Tunaelekea Congo Alianza kupiga Kelele kwenye Gari Eti kondaaa nishushe me Congo siendi walimuona kaa Mwehu 🤣🤣

embu lete experince yako yeyote uliwahi kutana nayo ya watu wasiojua kusalimia💥
downloadfile.gif
 
lazima atatokea weak man

kuna siku nilikuwa kwenye hiace naenda zangu kazini akaja dada mmoja alikata pembeni yangu akusamilia wala nini chuma ikanza safari konda akachua nauli zake pale sasa yule mdada akatoa elfu tano konda akamrudishia elfu 3000 kumbuka muda wote hajanisalimia sasa alivyorudishiwa hiyo chenji ndo akaniuliza nauli ya hiace bei gani ?? mimi bila hiana nikamwambia Elfu saba
conclusion: 😀
Una IDs mbili au
Umecopy uzi
 
Hahahaaa ila ni VWAWA ✅siyo VYAWA❌
 
Wanawake/wadada wengi wao wanaona sisi wanaume ndiyo tuna hali ya kuanza salamu, kwa sababu muda mwingi wanawaza ngono vichwani mwao.

Back
Top Bottom