Mike Moe
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 319
- 335
Hauwezi kubweka mkuu chaiKama hajatokea mtu akasema hii ni chai nabweka hapa hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauwezi kubweka mkuu chaiKama hajatokea mtu akasema hii ni chai nabweka hapa hapa.
Kwa muungwana salamu inategemeana kwa wote ukiona sijakuanza ruksa na wewe kunianza kama sijaitikia hiyo sasa ndio habari, na sio eti ukae usubiri mimi ndie nianze kukutolea salam hapana hiyo,Ninaheshimu mawazo yako daktari.....
Nimewatolea mfano hao waingereza tu lakini salamu ni kitu cha kujenga urafiki kwa jamii zote duniani...
Maisha kwa ujumla si ya kuviziana na kutapeliana....maisha yanaingizwaje humo ?!!
Well ,kwa hiyo kwako una hofu ndani ya nafsi yako ukinitolea salamu mimi jirani yako safarini kwenda Shinyanga basi NITAKUVIZIA NA KUKUTAPELI ?!!
Kwani haitoshi tu kusema hello halafu ukapiga "buyu" safari nzima ama tumekutana na maumivu mengi sana (through abuses) kufikia kuwa na POST TRAUMATIC STRESS DISORDER ?!!
Amani kwako daktari Mariposa ,aamin!
jinsia yako mkuuKusalimia sio lazima yule aliefika baada ndo asalimie hata wewe uliekuepo unaweza kusalimia tu.
Tatizo watu wanapenda kujipa umuhimu wasiokua nao.
Inawezekana ila mathalani mimi ninakuja nyumbani kwako ninaligonga geti lako ,unafungua mlango ,nami si bububu halafu ninakuangalia tu bila kutoa neno lolote na kusubiri wewe ndio useme ninataka nini ,kweli?!!Naam sio lazima mgeni amsalimie mwenyeji hata mwenyeji anaweza msalimia mgeni, jamaa ana shida zake tu
Nimecheka sana kwa sauti,Mimi nilipanda na mdada kwenye basi Mbeya mwaka 1997,safari yangu naelekea Songea to Mbinga, kama kaiwaida akaja kukaa kwenye siti akanichunia na mimi nikala jiwe,kumbuka hiyo safari ni ya mwendo kalibu masaa tisa,kufika madaba tukafaulishwa kwenye gari jingine,hapo kila mtu akakaa siti yake,unajua wanawake baadhi yao ni vilaza sana
if we click we click if we don't we won't
Kuna siku nipo kwenye Coster Naelekea Zangu Tunduma Akaja Mdada mmoj Mweupe Kavaa Head phone Maskion Kaja kukaa jiran Ajanisalimia Nikawa na mzoom tu Uku Na Angalia Pemben Tukawa tumefika sehemu inaitwa Mlowo nkanunua Zangu Chips Na majuisi na maji Safari ikaendelea tulivofika vyawa Eti Ananiuliza Hapa Ni Wapi nikamjbu Nika Mwambia Hapa tupo Boda Ya Zambia Tunaelekea Congo Alianza kupiga Kelele kwenye Gari Eti kondaaa nishushe me Congo siendi walimuona kaa Mwehu 🤣🤣
embu lete experince yako yeyote uliwahi kutana nayo ya watu wasiojua kusalimia💥
Ukifika kwangu nikifungua geti nitakwambia "karibu" utasema "ahsante, nimekuja kuchukua hela ya taka" nitakwambia sawa subiri.....Inawezekana ila mathalani mimi ninakuja nyumbani kwako ninaligonga geti lako ,unafungua mlango ,nami si bububu halafu ninakuangalia tu bila kutoa neno lolote na kusubiri wewe ndio useme ninataka nini ,kweli?!!
Huu ni mfano tu wa kisaikolojia kuwa mgeni ni bora sana akatoa salamu kwa aliowakuta...
Naheshimu fikra zako !!
Masaa yote 9 ulikua umeweka kinyongo why huyo dada hakukusalimia na alivyokusalimia ndio kinyongo kikafunguka mkaanza kuongea duuh nyie wababa mnashida aiseee, wakati kitendo cha kukutana tena kwenye landlover ungemwambia "ooh kumbe bado tupo njia moja.... unaenda wapi?" from there mngeendeleza stories,Nimecheka sana kwa sauti,Mimi nilipanda na mdada kwenye basi Mbeya mwaka 1997,safari yangu naelekea Songea to Mbinga, kama kaiwaida akaja kukaa kwenye siti akanichunia na mimi nikala jiwe,kumbuka hiyo safari ni ya mwendo kalibu masaa tisa,kufika madaba tukafaulishwa kwenye gari jingine,hapo kila mtu akakaa siti yake,kufika Songea mimi nikaingia kwenye Landlover usafiri wa kipindi hicho naye nikamuone amepandaa,tukawa tunatizamana zile landlove za boks border mnakaa kama siti za chai maharage za zanzibar,kufika sehemu moja inaitwa kigonsela tairi ya gari ya nyuma ikachomoka,ile gari ikayumba na taharuki yule dada akaja nilipokaa akanikumbatia na kunibana kabisa mpaka gari ikatulia,na fahamu naona ndiyo zikamludia eti na kuanza kunisalimi, basi tuliendelea na safari akiwa na adabu huku tunapiga stories
Kumbe ndiyo ilikuwa mara yake ya kwanza kwenda mbinga alikuwa ndiyo anaenda kuripoti kazi ya Ualimu,Mimi nilikuwa naenda South Afrika.naona wengine watajiuliza kivipi uende South kupitia Mbinga?
unajua wanawake baadhi yao ni vilaza sana
if we click we click if we don't we won't
Kuna siku nipo kwenye Coster Naelekea Zangu Tunduma Akaja Mdada mmoj Mweupe Kavaa Head phone Maskion Kaja kukaa jiran Ajanisalimia Nikawa na mzoom tu Uku Na Angalia Pemben Tukawa tumefika sehemu inaitwa Mlowo nkanunua Zangu Chips Na majuisi na maji Safari ikaendelea tulivofika vyawa Eti Ananiuliza Hapa Ni Wapi nikamjbu Nika Mwambia Hapa tupo Boda Ya Zambia Tunaelekea Congo Alianza kupiga Kelele kwenye Gari Eti kondaaa nishushe me Congo siendi walimuona kaa Mwehu 🤣🤣
embu lete experince yako yeyote uliwahi kutana nayo ya watu wasiojua kusalimia💥Mbona ulisema hajakusemesha
Ulitaka akusemeshe akuambiaje kwa mfano?unajua wanawake baadhi yao ni vilaza sana
if we click we click if we don't we won't
Kuna siku nipo kwenye Coster Naelekea Zangu Tunduma Akaja Mdada mmoj Mweupe Kavaa Head phone Maskion Kaja kukaa jiran Ajanisalimia Nikawa na mzoom tu Uku Na Angalia Pemben Tukawa tumefika sehemu inaitwa Mlowo nkanunua Zangu Chips Na majuisi na maji Safari ikaendelea tulivofika vyawa Eti Ananiuliza Hapa Ni Wapi nikamjbu Nika Mwambia Hapa tupo Boda Ya Zambia Tunaelekea Congo Alianza kupiga Kelele kwenye Gari Eti kondaaa nishushe me Congo siendi walimuona kaa Mwehu 🤣🤣
embu lete experince yako yeyote uliwahi kutana nayo ya watu wasiojua kusalimia💥
Ulitaka akusemeshe akuambiaje kwa mfano? Ukanunua chipsi ili dada wa watu akusemeshe? Wadada wanajihami siku hizi headphones kwenye vyombo vya usafiri .Anajua akikusemesha tu utaanza kuflaw mistari ya kina diamond na jux( sio wote lakini).unajua wanawake baadhi yao ni vilaza sana
if we click we click if we don't we won't
Kuna siku nipo kwenye Coster Naelekea Zangu Tunduma Akaja Mdada mmoj Mweupe Kavaa Head phone Maskion Kaja kukaa jiran Ajanisalimia Nikawa na mzoom tu Uku Na Angalia Pemben Tukawa tumefika sehemu inaitwa Mlowo nkanunua Zangu Chips Na majuisi na maji Safari ikaendelea tulivofika vyawa Eti Ananiuliza Hapa Ni Wapi nikamjbu Nika Mwambia Hapa tupo Boda Ya Zambia Tunaelekea Congo Alianza kupiga Kelele kwenye Gari Eti kondaaa nishushe me Congo siendi walimuona kaa Mwehu 🤣🤣
embu lete experince yako yeyote uliwahi kutana nayo ya watu wasiojua kusalimia💥
Unatafuta mume kijana??jinsia yako mkuu
maana ya huyo hapo juu tunaijua🤣
Umeona eee kuwa salamu ina baraka nyingi na hizo thawabu....Kwa muungwana salamu inategemeana kwa wote ukiona sijakuanza ruksa na wewe kunianza kama sijaitikia hiyo sasa ndio habari, na sio eti ukae usubiri mimi ndie nianze kukutolea salam hapana hiyo,
Tena kwenye uislam salamu ina thawabu, salamu ni sadaka, ni mwendo wa kuwahiana tu, ujizolee mithawabu teh teh
Binafsi, nasalimia au sisalimii inategemea wakati nafika eneo husika nilikua nafanya nini, naweza kukufikia na nikakuongelesha moja kwa moja bila salamu pia naweza kukupa salamu na nisikuongeleshe tena na pia naweza nisikupe hiyo salamu nikawa busy na mambo yangu,
We huogopiiiii!
Yaah dunia ina mengi, mtu anaingia kwenye gari ana stress kibao.Naam sio lazima mgeni amsalimie mwenyeji hata mwenyeji anaweza msalimia mgeni, jamaa ana shida zake tu
Mtoto inabidi aanze kumsalimia mkubwa,na wewe unapomkuta mtu popote pale inabidi uanze kumsalimia,na mtu mmoja anapokutana na watu wengi au wakamkuta yeye ndiye inabidi aanze kuwasalimia,nimefundishwa hivyo katika dini ya UisilamuKwa muungwana salamu inategemeana kwa wote ukiona sijakuanza ruksa na wewe kunianza kama sijaitikia hiyo sasa ndio habari, na sio eti ukae usubiri mimi ndie nianze kukutolea salam hapana hiyo,
Tena kwenye uislam salamu ina thawabu, salamu ni sadaka, ni mwendo wa kuwahiana tu, ujizolee mithawabu teh teh
Binafsi, nasalimia au sisalimii inategemea wakati nafika eneo husika nilikua nafanya nini, naweza kukufikia na nikakuongelesha moja kwa moja bila salamu pia naweza kukupa salamu na nisikuongeleshe tena na pia naweza nisikupe hiyo salamu nikawa busy na mambo yangu,
We huogopiiiii!
Sawa....Ukifika kwangu nikifungua geti nitakwambia "karibu" utasema "ahsante, nimekuja kuchukua hela ya taka" nitakwambia sawa subiri.....
Hapo hakuna salamu yoyote lakini mambo yameenda vizuri,
Au utagonga geti nitakwambia "karibu, habari yako" utaitika "nzuri/mbaya" na kueleza shida ilokuleta
Awesome !Mtoto inabidi aanze kumsalimia mkubwa,na wewe unapomkuta mtu popote pale inabidi uanze kumsalimia,na mtu mmoja anapokutana na watu wengi au wakamkuta yeye ndiye inabidi aanze kuwasalimia,nimefundishwa hivyo katika dini ya Uisilamu
jambo ili unalijua wewe mtu kamili kabisa ila sio ma single mother 🤣🤣Mtoto inabidi aanze kumsalimia mkubwa,na wewe unapomkuta mtu popote pale inabidi uanze kumsalimia,na mtu mmoja anapokutana na watu wengi au wakamkuta yeye ndiye inabidi aanze kuwasalimia,nimefundishwa hivyo katika dini ya Uisilamu
mkuu hawa watu akili zao sio nzuri Too bad kuna gentlemen humu wanawatetea huo sio uzwauzwa kabisaNimecheka sana kwa sauti,Mimi nilipanda na mdada kwenye basi Mbeya mwaka 1997,safari yangu naelekea Songea to Mbinga, kama kaiwaida akaja kukaa kwenye siti akanichunia na mimi nikala jiwe,kumbuka hiyo safari ni ya mwendo kalibu masaa tisa,kufika madaba tukafaulishwa kwenye gari jingine,hapo kila mtu akakaa siti yake,
Kufika Songea mimi nikaingia kwenye Landlover usafiri wa kipindi hicho naye nikamuone amepandaa,tukawa tunatizamana zile landlove za boks body mnakaa kama siti za chai maharage za zanzibar,kufika sehemu moja inaitwa kigonsela tairi ya gari ya nyuma ikachomoka,ile gari ikayumba na taharuki yule dada akaja nilipokaa akanikumbatia na kunibana kabisa mpaka gari ikatulia,na fahamu naona ndiyo zikamludia eti na kuanza kunisalimi, basi tuliendelea na safari akiwa na adabu huku tunapiga stories
Kumbe ndiyo ilikuwa mara yake ya kwanza kwenda mbinga alikuwa ndiyo anaenda kuripoti kazi ya Ualimu,Mimi nilikuwa naenda South Afrika,naona wengine watajiuliza kivipi uende South kupitia Mbinga?
Hiki kizazi kingine mambo yamebadilika, siku hizi mwenye shida ya salamu ndie ataanzaMtoto inabidi aanze kumsalimia mkubwa,na wewe unapomkuta mtu popote pale inabidi uanze kumsalimia,na mtu mmoja anapokutana na watu wengi au wakamkuta yeye ndiye inabidi aanze kuwasalimia,nimefundishwa hivyo katika dini ya Uisilamu
Na huyu mtoa mada hajasema salamu yake haijapokelewa amesema hakuanzwa kusalimiwa wakati hata yeye alikua ana uwezo wa kusalimia,Umeona eee kuwa salamu ina baraka nyingi na hizo thawabu....
Ni kweli binadamu huwa anaweza kupitiwa na asisalimie ama asiitikie salamu....
Ninachokiongelea ni ile hali ya "ujuba" wa kutopokea salamu kwa baadhi ya watu halafu baada ya muda anakuuliza kitu,ha ha ha ha
Hata mapenzi baina ya watu wawili huanza na salamu(amani) na huendelezwa na salamu (amani).
Unapokuja kwangu inamaanisha wewe unanihusu lazima nikusikilize, tunapokutana kwenye bus wewe hunihusu wala mimi sikuhusu, sihusiki wala uhusiki na chochote kwetuSawa
Sawa....
Salamu ni jambo pana mno....nimekuja kuchukua fedha ya taka na nimegonga geti ukafungua na kusema "KARIBU"...hii yenyewe inatosha kuwa salamu mkuu wangu !