ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Kwa mfano ingekuwa Ni wewe umri 27 una kazi ya kipato Cha wastani chenye kukuwezesha kuanza ujenzi polepole Ila kwa kujibana bana Kuna ulazima wowote wa na kuanza kufikiria kujenga ikiwa huna mke Wala mtoto na pengine ndugu yako wa pekee tayari Ana maisha yake kaoa huko mbali na bahati mbaya wazazi wako nao wamefariki.
Na ukizingatia huna uhakika Sana Kama utakuja kubahatika kupata mtoto kwa kuwa hupendelei Sana kuoa yaani hujawaza bado kuanza kutafuta mke Ila mambo yako mengine yanaendelea fresh tu.
Niambie kipi kingine cha kukushawishi mpaka ujenge Kuna faida gani haswa za kujenga wakati mahali ulipo Tanga wilaya fulani gharama za kupanga ni nafuu.