ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Mkuu hela umetolea wapi? Nipigie pande aseemm nina miaka 26 na nimejenga japo sina mke wala mtoto now nasave pesa kwa ajili ya kuwekeza tu.
Walevi bwana😂😂😂😂😂😂😂Kujenga ni uwoga wa maisha
Mkuu mimi siyo mlevi, kila mtu na mtazamo wake. Kama wewe unajenga sawa, lakini mimi siwezi kujengaWalevi bwana😂😂😂😂😂😂😂
nambie kipi kingine Cha kukushawishi mpaka ujenge Kuna faida gani haswa za kujenga wakati mahali ulipo Tanga wilaya fulani gharama za kupanga Ni nafuu.
Ujenge ili iweje mkuu. fanya mambo mengine kama vile kuwekeza na mengine ya maana kwakoKwa mfano ingekuwa Ni wewe umri 27 una kazi ya kipato Cha wastani chenye kukuwezesha kuanza ujenzi polepole Ila kwa kujibana bana Kuna ulazima wowote wa na kuanza kufikiria kujenga ikiwa huna mke Wala mtoto na pengine ndugu yako wa pekee tayari Ana maisha yake kaoa huko mbali na bahati mbaya wazazi wako nao wamefariki.
Na ukizingatia huna uhakika Sana Kama utakuja kubahatika kupata mtoto kwa kuwa hupendelei Sana kuoa yaani hujawaza bado kuanza kutafuta mke Ila mambo yako mengine yanaendelea fresh tu.nambie kipi kingine Cha kukushawishi mpaka ujenge Kuna faida gani haswa za kujenga wakati mahali ulipo Tanga wilaya fulani gharama za kupanga Ni nafuu.
Anyway Watanzani tunachelewa kukua miaka 27 bado unaona bado kujenga duh, wewe unasubilia family ili ujenge lohKwa mfano ingekuwa Ni wewe umri 27 una kazi ya kipato Cha wastani chenye kukuwezesha kuanza ujenzi polepole Ila kwa kujibana bana Kuna ulazima wowote wa na kuanza kufikiria kujenga ikiwa huna mke Wala mtoto na pengine ndugu yako wa pekee tayari Ana maisha yake kaoa huko mbali na bahati mbaya wazazi wako nao wamefariki.