Nishawishi kwanini nijenge nyumba na huku sina familia

Kijana maisha tuliyonayo haya ni gurudumu la bahati ambalo linazunguka kama siku upande mwema umekuangukia usingoje fursa hiyo hadi ikakutoroka na isije tena
 
Unaijenga dunia unaishi milele?
 
Yego ndege, hapa tunapita jaji, makao yetu ni mbinguni. Sasa kwa nn uhangaike kujenga njiani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…