Nisher haijui sexual orientation yake?

Nisher haijui sexual orientation yake?

Status
Not open for further replies.
Unaweza ukaniangalia kwa ujasiri na usiweze hata kunigusa paja langu.
Umri ni namba tu broda, kama 1, 2 au 3
Sasa kama nimefanikiwa kumwangalia madame mwenyewe kwa ujasiri mpaka machozi yakanitoka itaniwia vigumu vipi kushika upaja wakati madame mwenyewe yupo kati kati ya mapaja ??? Kweli umri ni namba tu ndio maana nkawa najiuliza what difference does it make if im 18 ,25, or 47 ??
 
Unakuwa kama @Evelyn Salt bhana, yaani ukisalimiwa tu unaitikia na bifu juu!!
Naona ulipoona siko jukwaani muda mrefu ukaanza kuwashwaaaa.....ukawa unanitafuta kila kona.
Mie nishasahau wewe....kwanza leta michapo za kuukaribisha mwaka.

Naona unamtafuta shoga angu eeeeee....una hamu na kibao kata kama cha siku zile eeee
 
Niko full tank hapa, nawasubiri wewe na evelyn salt mje tufunge mwaka.
 
Asante Madame , samahani lakini unapata vipi access ya hilo jukwaa JLW ?? Nlisha wa pm moderators kuhusu access yake hawa kunijibu
Hapa naandika huku natetemeka maana ikitokea kuna kitu hujakipenda itabidi nikimbie jamii forum
Kama walikataa kukupa access basi una chini ya umri wa 18years
 
Mkuu kivipi sasa na sharubu zote hizi mpaka zimebadilika rangi ,hiyo miaka 18 wametumia kigezo gani kujua sijatimiza
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] basi moderators ni majipu mengind @Uncleben na masharubu yote wanakunyima utamu.ila huko jukwaani kunataka moyo kweli kweli
 
Hebu mkuu nipe siri wewe ulijiungaje huko maana hilo jukwaa kujiunga utaratibu wake kama usalama wa taifa
 
Naona ulipoona siko jukwaani muda mrefu ukaanza kuwashwaaaa.....ukawa unanitafuta kila kona.
Mie nishasahau wewe....kwanza leta michapo za kuukaribisha mwaka.

Naona unamtafuta shoga angu eeeeee....una hamu na kibao kata kama cha siku zile eeee
binamu leo mkesha wapi tukapige umbea jaman mpaka asubuhi, mie hapa hata sijielewi
 
Back
Top Bottom