Nisipost chakula na nisile mbele yako kisa jirani umefunga? Ni wazi unajilazimisha kushinda njaa wala hujafunga kwa imani

Shida kubwa ya hii dini kuona wakristo ni makafiri hii yote ni shida ya kitabu hichi kutelemshwa na adui wa malaika jibril
 
Ikifika saa moja kasoro wanavyokimbizana utadhani wana njaa ya mwaka kumbe ulaku
 
Hufanyi biashara ya chakula unapost vyakula mitandaoni ili iweje?

Utoto burudani eeh?
 
Tuvumiliane jamani kwani na huu mwezi utapita
Wengine wanafuata mkumbo ili mradi wakejeli tu
Mkuu weka picha ya wali kama tutafturu picha mbona mnaenda mbali sana mpaka makasiklriko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…