Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo inafahamika siyo tz tu popote mlipo ni lazima tu.Wamewahi kukulazimisha wewe hapa Tanzania ?
Kwa hiyo tukale wapi, yaani nijifiche kula kisa wewe umefunga kweli...mbona uonevu huu!Lakini hata kula chakula mbele ya aliyefunga kwa makusudi ni dhambi sana...,,majaribu siyo mazuri
Ndio shida yao kubwaWana tabia ya kufanya jambo lao binafsi liwe la wote.
Kwan ulilazimishwa kulaLakini hata kula chakula mbele ya aliyefunga kwa makusudi ni dhambi sana...,,majaribu siyo mazuri
Soma neno makusudi mkuu....ukianza kula mtu si anajua upo kula kuna ile makusudi kabisa mtu anakuletea msosi mbele yako kukomoaKwa hiyo tukale wapi, yaani nijifiche kula kisa wewe umefunga kweli...mbona uonevu huu!
Haya Sawa mkuuKwan ulilazimishwa kula
kwa sababu wanamatatizo ya akiliKwa sababu gani ?
Ni kiburi cha uzima tu kijana kinakuzuzuaTatzo la Hawa jamaa ni kulazmisha mambo, mungu wao hajiwezi kabsa bila kumsaidia.
yaani hapa ndipo tunaposhindwana, kwanini tusiheshimiane kisa imani tofautiNo co existance
Mtu anayetundika picha ya muigizaji wa filamu ya Yesu na kumuabudu akidai huyo ndiye Yesu ni chizi anayestahili kuwa wodi ya vichaa kule milembe.waisilam wengi wanamatatizo ya akili
Kula ni kula tu hakuna makusudi wala bahati mbaya, watuvumilie tu coz imani ipo moyoni.Soma neno makusudi mkuu....ukianza kula mtu si anajua upo kula kuna ile makusudi kabisa mtu anakuletea msosi mbele yako kukomoa
Sawa mkuuKula ni kula tu hakuna makusudi wala bahati mbaya, watuvumilie tu coz imani ipo moyoni.
acha kutukana watu kama huna namna nyingine ya kuchangia. Nadhani ambaye hapa hana akili ni wewewaisilam wengi wanamatatizo ya akili
Hufanyi biashara ya chakula unapost vyakula mitandaoni ili iweje?Hizi tabia za kulazimisha jambo la watu fulani liwe la wote nazichukia sana, Sio wote ila ni wale wanaofunga kwa kushinda njaa, wale wanaofunga kwa imani wala sina shida nao.
Nashangaa nikiweka status za vyakula kuna baadhi ya njemba zinakuja inbox eti huu mwezi mtukufu sio vizuri kupost chakula wengine tumefunga 😂 Huo mwezi mtukufu ni kwa baadhi tu sio wote jamani, yaani nile biriani nisipost kisa umefunga ?
Ofisini tuna kawaida ya kuagiza chai na lunchi, Kwaresma ilipoanza sisi ambao hatukufunga tuliendelea kula hapo ofisni. yani tunakula kuku, pilau, juice, n.k. mbele ya waliofunga bila tatizo, ni wazi kabisa nguvu ya imani kwenye funga zao zilishinda matamanio ya kimwili (njaa). ila sasa hivi karibuni kwenye mfungo mpya kuna baadhi ya wahusika wenye imani finyu wameanza kauli za ajabu kwamba tunaokula ofisini tuwe tunaenda kulia kantini kwa kisingizio cha sisi tusiwaingiz tamaa, ni jambo linaloshangaza maana inaonekana funga yao ipo kimwili zaidi kuliko kiimani.
Nilishawaambia wao kama wanaona wanatamani tunavyokula ni wazi wanashinda njaa wala hawafungi kwa imani ni vema watujoin ama kama vipi wawe wanatoka nje kula upepo wakiona imani zao ni nyepesi kuzidi tumbo, Sio sisi tubadili utaratibu ila ni wao ndio wabadili utaratibu, nashukuru wengi wapo nyuma yangu kwenye hili.
Huwa nawaambia live bila chenga wanajilazimisha kushinda njaa wala hawajafunga kwa imani.
Mtu aliefunga kwa imani funga yake haiwezi kuharibiwa hata umweke jikoni.