Nisipost chakula na nisile mbele yako kisa jirani umefunga? Ni wazi unajilazimisha kushinda njaa wala hujafunga kwa imani

Alafu raha ya kufunga upate ile njaa mpaka jicho litoke sasa mjomba saa kumi na mbili unabutua uji majagi saba saa mbili usiku mihogo ya nazi na dagaa mchele sasa kinachoniacha hoi kuna kitu kinaitwa daku hapo mtu anapiga magimbi yake sahani mpaka juu ,kufunga ni suala nyeti sana tusichukulie poa poa
 
Na ww achaga ushamba kwa hyo biriani, pilau, kuku, sijui juice ndio umeona vitu vya kuku promote?? Au ulitaka tujue umeajiriwa kwamba unakulaga ofisini?? Hii ni great thinkers forum leta mada zenye tija... Takataka kama hz unamalizana nazo hukohuko ofisini kwenu.
 
Jamaa lishamba sana eti status za vyakula!
 
Back
Top Bottom