MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Mbona lipoNSSF fao la kujitoa
Hapa napinga, Jiwe alikuwa mtu katili na mwenye visasi saaana - hapo tu tayari wana tofauti kubwa.Msitegemee maajabu sana kwenye hotuba ya Mama. Tiyari alisha declare interest mapema kabisa kwamba yeye hana tofauti na Mwendazake Jiwe
Dude la Kinyarwanda limekuja kivingine1. Kuwaomba Radhi Watanzania walioumizwa
2. Kuwataka waliokimbia nchi warejee
3. Mishahara Kupandishwa Maradufu
4. Kusimamisha Ubunge wa akina Mdee
5. Kuurejesha Mzunguko wa Pesa
6. Kuwasamehe wote waliofungwa kwa Chuki na Uonevu
7. Kuipongeza Simba Sports Club yangu
Nasisitiza hapa hapa kuwa Generalist ndani ya dakika zangu 30 za Kumsikiliza Mama asipoyagusia haya nazima Tv / Redio na kurejea Chumbani kuendelea Kumuomba 'Israeli' aendelee Kutufurahisha Watanzania kwa namna yake ile ya Kipekee ya 'Kimya Kimya Ghafla Style' tu.
Nenda mahakamani acha kulialia Mama hawezi kuongea kuhusu hao wabungewenu.Kweli mkuu katiba ina imevunja wazi wazi inakuwaje wabunge wasio na chama wawepo bungeni!?? Na wale mishahara ambao ni kodi za watanzania maskini???!!
Huu ni sawa na uhujumu uchumi kulipa watu mishahara na posho kibao kinyume na katiba