Kwa hiyo kwenye hiyo namba 4 yako, unaamini ni hao akina Mdee pekee wasio na sifa humo Bungeni?
Au ni karibia Wabunge wote tu, hawana sifa za kuitwa Wabunge! kutokana na ukweli kwamba wameteuliwa tu na Hayati kibabe, badala ya kuchaguliwa Wananchi?
MIMI NAONA HAWA CHADEMA WANA UCHU SANA WA KUWA WABUNGE ILHARI WALISHINDWA KWENYE KURA BASI WAJIITE TU NAO WABUNGE WAJENGE NYUMABA WAIITE BUNGE WAWE WANAENDA KUKUTANA HUMOLa wabunge kina Halima liko kisheria..
Bunge ni taasisi huru
Yeyote anaepinga aende mahakamani
Na mahakama ni taasisi huru...
Kama kweli tunamtaka Mama asiingilie Bunge wala mahakama hatuwezi tena kumwambia aingilie Bunge kufanya maamuzi tunayo yaona sahihi...
Chadema waende mahakamani Tu
Sisi tumuombe Mama asiingilie Bunge wala mahakama