Nisipoyasikia haya ndani ya dakika 30 tu za Hotuba yake Mama 'Dodomya' nazima Tv / Redio kwa 'Hasira'

Tusubiri hotuba yake ya Leo kwa bunge la JMT.
 
Hotuba ni maneno yaliyo andaliwa kwa mpangilio mzuri wa kuvutia hadhira. Shujaa alitoa hotuba nzuri sana sana ile siku anahutubia Bunge, ila kilichofata ni FEDHEHA kwa Taifa (utawala wake).
 
Wewe ni Chadema umeanza kudemka na mapema sasa kina mdee si mshawafukuza uwanachama kitu gani tena kinakupata? achana na hutuba ya rais mfuatilie Tundu Lissu youtube/twitter ndiko anakotumia kuendesha siasa
 
Kenge wa njano
 
Na maamuzi yako hayo yanamuathirije mama Samia na watz kwa mfano😂😂😂!
 
Umeanza vizuri sana ila hapo number 7 sikupi like yangu.
 
mengine yote hayana maana ila namba 7 hapo tupo pamoja
 
Hahahaha we fala kweli haujawahi kua serious "eti kuipongeza simba sports club"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…