Donyongijape
JF-Expert Member
- May 28, 2010
- 1,497
- 814
Vipi ushazima?1. Kuwaomba Radhi Watanzania walioumizwa
2. Kuwataka waliokimbia nchi warejee
3. Mishahara Kupandishwa Maradufu
4. Kusimamisha Ubunge wa akina Mdee
5. Kuurejesha Mzunguko wa Pesa
6. Kuwasamehe wote waliofungwa kwa Chuki na Uonevu
7. Kuipongeza Simba Sports Club yangu
Nasisitiza hapa hapa kuwa Generalist ndani ya dakika zangu 30 za Kumsikiliza Mama asipoyagusia haya nazima Tv / Redio na kurejea Chumbani kuendelea Kumuomba 'Israeli' aendelee Kutufurahisha Watanzania kwa namna yake ile ya Kipekee ya 'Kimya Kimya Ghafla Style' tu.
😄😄😄😄😄 mbavu zangu1. Kuwaomba Radhi Watanzania walioumizwa
2. Kuwataka waliokimbia nchi warejee
3. Mishahara Kupandishwa Maradufu
4. Kusimamisha Ubunge wa akina Mdee
5. Kuurejesha Mzunguko wa Pesa
6. Kuwasamehe wote waliofungwa kwa Chuki na Uonevu
7. Kuipongeza Simba Sports Club yangu
Nasisitiza hapa hapa kuwa Generalist ndani ya dakika zangu 30 za Kumsikiliza Mama asipoyagusia haya nazima Tv / Redio na kurejea Chumbani kuendelea Kumuomba 'Israeli' aendelee Kutufurahisha Watanzania kwa namna yake ile ya Kipekee ya 'Kimya Kimya Ghafla Style' tu.
Naamini amedeclare Kisiasa tu,huyu mama kwa kumsikiliza tu Ni mbingu na ardhi na Jiwe.Msitegemee maajabu sana kwenye Naamini hotuba ya Mama. Tiyari alisha declare interest mapema kabisa kwamba yeye hana tofauti na Mwendazake Jiwe.
duh1. Kuwaomba Radhi Watanzania walioumizwa
2. Kuwataka waliokimbia nchi warejee
3. Mishahara Kupandishwa Maradufu
4. Kusimamisha Ubunge wa akina Mdee
5. Kuurejesha Mzunguko wa Pesa
6. Kuwasamehe wote waliofungwa kwa Chuki na Uonevu
7. Kuipongeza Simba Sports Club yangu
Nasisitiza hapa hapa kuwa Generalist ndani ya dakika zangu 30 za Kumsikiliza Mama asipoyagusia haya nazima Tv / Redio na kurejea Chumbani kuendelea Kumuomba 'Israeli' aendelee Kutufurahisha Watanzania kwa namna yake ile ya Kipekee ya 'Kimya Kimya Ghafla Style' tu.
Unauliza Chenji kwa Kondakta?Vipi ushazima?
Hii hotuba mama angeitoa baada ya mwezi mtukufu,1. Kuwaomba Radhi Watanzania walioumizwa
2. Kuwataka waliokimbia nchi warejee
3. Mishahara Kupandishwa Maradufu
4. Kusimamisha Ubunge wa akina Mdee
5. Kuurejesha Mzunguko wa Pesa
6. Kuwasamehe wote waliofungwa kwa Chuki na Uonevu
7. Kuipongeza Simba Sports Club yangu
Nasisitiza hapa hapa kuwa Generalist ndani ya dakika zangu 30 za Kumsikiliza Mama asipoyagusia haya nazima Tv / Redio na kurejea Chumbani kuendelea Kumuomba 'Israeli' aendelee Kutufurahisha Watanzania kwa namna yake ile ya Kipekee ya 'Kimya Kimya Ghafla Style' tu.
Dakika 90 mkuu BILA BILA tuna wabunge wa hovyo sana wanashangilia KILA KITU.Ndiyo kishamaliza huyo sidhani kama kuna la maana. Karibu nusu sasa bado ANABWABWAJA TU! 😳
Huyo aliyeanzisha Pambio ni nani? Siyo Waziri Mama Mhagama huyo Ndugu?Hii hotuba mama angeitoa baada ya mwezi mtukufu,
Dakika 90 mkuu BILA BILA tuna wabunge wa hovyo sana wanashangilia KILA KITU.
Sijamuona actually nasikiliza kwenye radio!!Huyo aliyeanzisha Pambio ni nani? Siyo Waziri Mama Mhagama huyo Ndugu?
Na huenda wote walikuwa wameloana.Sijamuona actually nasikiliza kwenye radio!!
Hotuba imeisha covid 19 wameshangilia mpaka wanataka kurukaruka.
Hivi ulixima runinga yako?1. Kuwaomba Radhi Watanzania walioumizwa
2. Kuwataka waliokimbia nchi warejee
3. Mishahara Kupandishwa Maradufu
4. Kusimamisha Ubunge wa akina Mdee
5. Kuurejesha Mzunguko wa Pesa
6. Kuwasamehe wote waliofungwa kwa Chuki na Uonevu
7. Kuipongeza Simba Sports Club yangu
Nasisitiza hapa hapa kuwa Generalist ndani ya dakika zangu 30 za Kumsikiliza Mama asipoyagusia haya nazima Tv / Redio na kurejea Chumbani kuendelea Kumuomba 'Israeli' aendelee Kutufurahisha Watanzania kwa namna yake ile ya Kipekee ya 'Kimya Kimya Ghafla Style' tu.
Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed..... Ndiyo Generalist Mimi.lijamaa lijinga hili....