Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed..... Ndiyo Generalist Mimi.
Sheria ipi hiyo Mkuu inayoruhusu watu kufanya forgery kwenye forms husika kinyume na matakwa ya chama chao. Msekwa alishasema huwezi kuwa Mbunge Tanzania kama si mwanachama wa chama cha siasa na hao 19 kwa sasa si Wanachama wa chama chochote cha siasa hivyo Katiba haiwaruhusu kuwepo mjengoni.
Kwani ni nani aliyeaagiza hawa wawe Bungeni?
Sasa Rais afanyaje?Aliagize Bunge?
Mnataka Rais awe anaagiza Bunge??
Mbunge wangu Mafue wa Hai, asihusishwe hapo. Wana Hai tunajua Mbunge wetu mtaafu alimwagwa kweupeeeee.Kwa hiyo kwenye hiyo namba 4 yako, unaamini ni hao akina Mdee pekee wasio na sifa humo Bungeni?
Au ni karibia Wabunge wote tu, hawana sifa za kuitwa Wabunge! kutokana na ukweli kwamba wameteuliwa tu na Hayati kibabe, badala ya kuchaguliwa Wananchi?
Mh, NdugaiKwani ni nani aliyeaagiza hawa wawe Bungeni?
Mh, Ndugai
Hivi huyu jamaa yupo...? kitambo sana kuona nyuzi zakePoa Gentamycin, tumekusoma.
Kwani ni nani aliyeaagiza hawa wawe Bungeni?
Alikuwa Samia?
Muulize DJ ndio alie wapeleka kijanja.Kwa kutumia kipenndele kipi au vipi vya Katiba!?
Muulize DJ ndio alie wapeleka kijanja.
Mnahangaika na kina ndugai nawengine kumbe kikulacho kipo kwenye ngui zenu.
Mbaneni DJ atawaambia wamefikaje bungeni.
Hataivyo Usiwe na wasiwasi wabunge wote unao waona pale wapo kisheria. Na wanakuwakilisha mkuu tulia kazi iendelee.
Bora kuskia sauti ya huyu.1. Kuwaomba Radhi Watanzania walioumizwa
2. Kuwataka waliokimbia nchi warejee
3. Mishahara Kupandishwa Maradufu
4. Kusimamisha Ubunge wa akina Mdee
5. Kuurejesha Mzunguko wa Pesa
6. Kuwasamehe wote waliofungwa kwa Chuki na Uonevu
7. Kuipongeza Simba Sports Club yangu
Nasisitiza hapa hapa kuwa Generalist ndani ya dakika zangu 30 za Kumsikiliza Mama asipoyagusia haya nazima Tv / Redio na kurejea Chumbani kuendelea Kumuomba 'Israeli' aendelee Kutufurahisha Watanzania kwa namna yake ile ya Kipekee ya 'Kimya Kimya Ghafla Style' tu.
Sasa kulikuwa na sababu gani ya kumtumia Ole Sabaya na yule OCD kumtisha na kumbughudhi mgombea wa Chadema?Mbunge wangu Mafue wa Hai, asihusishwe hapo. Wana Hai tunajua Mbunge wetu mtaafu alimwagwa kweupeeeee.
Na hata uchaguzi urudiwe leo, silaha zote VIKATIO bado tunavyo.
1. Kuwaomba Radhi Watanzania walioumizwa
2. Kuwataka waliokimbia nchi warejee
3. Mishahara Kupandishwa Maradufu
4. Kusimamisha Ubunge wa akina Mdee
5. Kuurejesha Mzunguko wa Pesa
6. Kuwasamehe wote waliofungwa kwa Chuki na Uonevu
7. Kuipongeza Simba Sports Club yangu
Nasisitiza hapa hapa kuwa Generalist ndani ya dakika zangu 30 za Kumsikiliza Mama asipoyagusia haya nazima Tv / Redio na kurejea Chumbani kuendelea Kumuomba 'Israeli' aendelee Kutufurahisha Watanzania kwa namna yake ile ya Kipekee ya 'Kimya Kimya Ghafla Style' tu.
Ivi mtu mwenye akili timamu anaweza kuwaza kwamba Mama alistahili kuongele ishu ya hao c19 kweli??.Una UFINYU MKUBWA wa akili.
Wakati wewe unawaita Covid 19 wenzako wanawaona mashujaa maana wanapokea mpunga mrefu kupitia hao unawaita Covid 19, wewe endelea kujifukiza. Utakuja kutoa blanketi kumeshakucha 2025Sijamuona actually nasikiliza kwenye radio!!
Hotuba imeisha covid 19 wameshangilia mpaka wanataka kurukaruka.
Kwa issue ya Bandari ya Bagamoyo, ukweli ambao hauzungumzwi na ambao hata Jiwe hakusemea ni Je, huu mradi ni strategic project au la? Kama ni strategic, umuhimu wake unabaki pale pale. Kama dili la financing ya Wachina ndo tunapigwa, basi angesema au kwa sasahivi, hoja ibaki kuwa mradi ni muhimu, tuachane na financing yenye magumashi kutoka China, tutafute chanzo kingine kizuri cha financing, basi ni hilo tuu. Sasa nashangaa watu wanaacha kujadili hoja ya msingi, wanazungumzia mapendekezo ya Mkataba wa financing ya kichina. Magu alipaswa kuweka wazi hii hoja, siyo kujificha kwenye hoja financing ya Kichina eti ndiyo iwe sababu ya kuucha mradi muhimu kwa maendeleo ya taifa. Tujadili umuhimu wa mradi, financing inaweza kutoka kokote duniani, au hata kwa kodi zetu tukajenga kwa phases, inawekezana kabisa.Na kuruhusu Bunge kuonyeshwa live.
Pia atoe msimamo wake kuhusu ujenzi wa Bandari mpya ya Bagamoyo- Maana jiwe alisema tunapigwa