Nisipoyasikia haya ndani ya dakika 30 tu za Hotuba yake Mama 'Dodomya' nazima Tv / Redio kwa 'Hasira'

Nisipoyasikia haya ndani ya dakika 30 tu za Hotuba yake Mama 'Dodomya' nazima Tv / Redio kwa 'Hasira'

;
Sheria ipi hiyo Mkuu inayoruhusu watu kufanya forgery kwenye forms husika kinyume na matakwa ya chama chao. Msekwa alishasema huwezi kuwa Mbunge Tanzania kama si mwanachama wa chama cha siasa na hao 19 kwa sasa si Wanachama wa chama chochote cha siasa hivyo Katiba haiwaruhusu kuwepo mjengoni.

Sasa Rais afanyaje?Aliagize Bunge?
Mnataka Rais awe anaagiza Bunge??
 
Kwa hiyo kwenye hiyo namba 4 yako, unaamini ni hao akina Mdee pekee wasio na sifa humo Bungeni?

Au ni karibia Wabunge wote tu, hawana sifa za kuitwa Wabunge! kutokana na ukweli kwamba wameteuliwa tu na Hayati kibabe, badala ya kuchaguliwa Wananchi?
Mbunge wangu Mafue wa Hai, asihusishwe hapo. Wana Hai tunajua Mbunge wetu mtaafu alimwagwa kweupeeeee.
Na hata uchaguzi urudiwe leo, silaha zote VIKATIO bado tunavyo.
 
Kiapo cha Samia hiki hapa. Kwa hiyo kuilinda na kuitetea Katiba ni pamoja na yeye kukataa Katiba ya nchi kupindishwa. Hawezi kukwepa majukumu yake kwa kisingizio kwamba si yeye aliyeamua hao COVID-19 waingie Bungeni. The ball is in her court now.

Alikuwa Samia?
 
Kwa kutumia kipenndele kipi au vipi vya Katiba!?
Muulize DJ ndio alie wapeleka kijanja.

Mnahangaika na kina ndugai nawengine kumbe kikulacho kipo kwenye nguo zenu.

Mbaneni DJ atawaambia wamefikaje bungeni.

Hataivyo Usiwe na wasiwasi wabunge wote unao waona pale wapo kisheria. Na wanakuwakilisha mkuu tulia kazi iendelee.
 
Una UFINYU MKUBWA wa akili.
Muulize DJ ndio alie wapeleka kijanja.

Mnahangaika na kina ndugai nawengine kumbe kikulacho kipo kwenye ngui zenu.

Mbaneni DJ atawaambia wamefikaje bungeni.

Hataivyo Usiwe na wasiwasi wabunge wote unao waona pale wapo kisheria. Na wanakuwakilisha mkuu tulia kazi iendelee.
 
1. Kuwaomba Radhi Watanzania walioumizwa
2. Kuwataka waliokimbia nchi warejee
3. Mishahara Kupandishwa Maradufu
4. Kusimamisha Ubunge wa akina Mdee
5. Kuurejesha Mzunguko wa Pesa
6. Kuwasamehe wote waliofungwa kwa Chuki na Uonevu
7. Kuipongeza Simba Sports Club yangu

Nasisitiza hapa hapa kuwa Generalist ndani ya dakika zangu 30 za Kumsikiliza Mama asipoyagusia haya nazima Tv / Redio na kurejea Chumbani kuendelea Kumuomba 'Israeli' aendelee Kutufurahisha Watanzania kwa namna yake ile ya Kipekee ya 'Kimya Kimya Ghafla Style' tu.
Bora kuskia sauti ya huyu.
 
Mbunge wangu Mafue wa Hai, asihusishwe hapo. Wana Hai tunajua Mbunge wetu mtaafu alimwagwa kweupeeeee.
Na hata uchaguzi urudiwe leo, silaha zote VIKATIO bado tunavyo.
Sasa kulikuwa na sababu gani ya kumtumia Ole Sabaya na yule OCD kumtisha na kumbughudhi mgombea wa Chadema?
 
1. Kuwaomba Radhi Watanzania walioumizwa
2. Kuwataka waliokimbia nchi warejee
3. Mishahara Kupandishwa Maradufu
4. Kusimamisha Ubunge wa akina Mdee
5. Kuurejesha Mzunguko wa Pesa
6. Kuwasamehe wote waliofungwa kwa Chuki na Uonevu
7. Kuipongeza Simba Sports Club yangu

Nasisitiza hapa hapa kuwa Generalist ndani ya dakika zangu 30 za Kumsikiliza Mama asipoyagusia haya nazima Tv / Redio na kurejea Chumbani kuendelea Kumuomba 'Israeli' aendelee Kutufurahisha Watanzania kwa namna yake ile ya Kipekee ya 'Kimya Kimya Ghafla Style' tu.

Lala unono mkuu
 
Una UFINYU MKUBWA wa akili.
Ivi mtu mwenye akili timamu anaweza kuwaza kwamba Mama alistahili kuongele ishu ya hao c19 kweli??.

Nyie mnajifanyaga kuleta propaganda za kubeza kilakitu katika serikali ya awamu ya tano kwa chukizenu binafsi kwa Magu sazingine inabidi mjibiwe jinsi mlivyo.

Ishu ya C 19 haiwezi kumfanya rais aipe air time hata maramoja.

Majina yamepelekwa kwa barua na kumbukumbu namba zimetajwa, badae unasema umewafukuza uanachama.

Alafu unawaambia wanaweza kukata rufaa alafu wakati huohuo spika awafukuze bungeni.

Wakishinda hiyo rufaa then what, warudi bungeni?,
mambo ya kitoto kabisa.
 
Sijamuona actually nasikiliza kwenye radio!!

Hotuba imeisha covid 19 wameshangilia mpaka wanataka kurukaruka.
Wakati wewe unawaita Covid 19 wenzako wanawaona mashujaa maana wanapokea mpunga mrefu kupitia hao unawaita Covid 19, wewe endelea kujifukiza. Utakuja kutoa blanketi kumeshakucha 2025
 
Na kuruhusu Bunge kuonyeshwa live.

Pia atoe msimamo wake kuhusu ujenzi wa Bandari mpya ya Bagamoyo- Maana jiwe alisema tunapigwa
Kwa issue ya Bandari ya Bagamoyo, ukweli ambao hauzungumzwi na ambao hata Jiwe hakusemea ni Je, huu mradi ni strategic project au la? Kama ni strategic, umuhimu wake unabaki pale pale. Kama dili la financing ya Wachina ndo tunapigwa, basi angesema au kwa sasahivi, hoja ibaki kuwa mradi ni muhimu, tuachane na financing yenye magumashi kutoka China, tutafute chanzo kingine kizuri cha financing, basi ni hilo tuu. Sasa nashangaa watu wanaacha kujadili hoja ya msingi, wanazungumzia mapendekezo ya Mkataba wa financing ya kichina. Magu alipaswa kuweka wazi hii hoja, siyo kujificha kwenye hoja financing ya Kichina eti ndiyo iwe sababu ya kuucha mradi muhimu kwa maendeleo ya taifa. Tujadili umuhimu wa mradi, financing inaweza kutoka kokote duniani, au hata kwa kodi zetu tukajenga kwa phases, inawekezana kabisa.
 
Back
Top Bottom