Nisiwe mnafiki, napendezwa sana na Usayansi wa kiuongozi wa serikali hii

Nisiwe mnafiki, napendezwa sana na Usayansi wa kiuongozi wa serikali hii

Hii serikali kwa Sasa Ina uongozi flani wa kisayansi sana........kwa mwenye akili tu ndo atanielewa lakini kwa mimburura itaishia kutukana tu hapa kama kawaida yao. Nimependa approach zao...

Narudia, hakuna serikali itafanya maendeleo makubwa kuizidi hii......hutaki nenda Kenya ukaungane na maria sarungi kukasirika.
Nadhani ulimaanisha uongo si uongozi vinginevyo unataka kutufahamisha kuwa wewe ni chawa wa kunuka. KKKKK
 
Hii serikali kwa Sasa Ina uongozi flani wa kisayansi sana........kwa mwenye akili tu ndo atanielewa lakini kwa mimburura itaishia kutukana tu hapa kama kawaida yao. Nimependa approach zao...

Narudia, hakuna serikali itafanya maendeleo makubwa kuizidi hii......hutaki nenda Kenya ukaungane na maria sarungi kukasirika.
Kweli hakuna utawala ulio ua wananchi kiholela kama utawala huu ,ni kweli kabisa una sayansi ya kuua na kuteka utawala huu
 
Samia would be smarter than JPM and BWM
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nahisi huyu mtoa bandiko hili ameongea lugha ya kifasihi kuna jambo analolenga sivyo watu wengi walivyomtafsiri.

Hivyo ana hoja tumpe nafasi atufafanulie alichokisema ila asituletee hadithi za sifa na mapambio ya kichwawa.
 
Kwani umeoga leo mkuu? mgao wa mama haujakupitia?
 
sawa, but what about maji ya kunywa kwa wananchi? maji hakuna ...
Paris kulikuwa na chawa mji mzima, we inashangaza uhaba wa maji unaotokana na ukame?!!! Ebu nyie haters wa Samia kuweni serious bs wakati mwingine.
 
Kweli hakuna utawala ulio ua wananchi kiholela kama utawala huu ,ni kweli kabisa una sayansi ya kuua na kuteka utawala huu
Hakuna utawala ambao ulikabiliana na majambazi walikuwa wanaopora vitu vya watu mchana kweupeee kama huu. Tena sio kupora tu Bali kuharibu na miundombinu muhimu ya taifa kabisa. Nalioongeza sana jeshi kwa kazi nzuri ya kuwalinda raia wake na nchi yao.
 
Back
Top Bottom